Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa.
Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana simba ajatokea barani ulaya.
Sasa waliokuja kutuletea dini ndio walikuja na kila walichotoka nancho kulingana wanavotumia.sawa ni mimi mtanzania nipeleke mnyama anayapatikana hapa kama kitoweo wakale sehemu ambako hakuna hiko kitoweo.
mfano senene