Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
- Thread starter
- #21
kuna mmoja anashindwa kuelewa aina za jangwa.huyu zonda tumuulize aina za jangwaKatika akili yako,unafikiri huko.majangwani hakuna ziwa na bahari,tumia akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mmoja anashindwa kuelewa aina za jangwa.huyu zonda tumuulize aina za jangwaKatika akili yako,unafikiri huko.majangwani hakuna ziwa na bahari,tumia akili.
Akili zako ndogo,nenda kachezeembu nenda ukachukue point tatu wakati ushafika mda wa swala.maswala haya tuache unachoulizwa ujibu.
na rudia tena mnyama dubu ulishamkuta serengeti?
Achana naye huyo,Biblia ya asili iliandikwa mashariki ya kati,jangwani,Yesu aliishi mashariki ya kati jangwani,kwenye Luka 8:29-33 na Isaya 65:5 na aya nyinginezo ametajwa nguruwe.Umejifunza wapi nguruwe hakuwepo mashariki ya kati!?...yaani hujiulizi watu kukatazwa kula nguruwe ni kielelezo kwamba nguruwe alikuwepo!!?..
ushawai Kuingia QUORA ukajaribu kachingia hata mada.ukijibiwa njoo ndo uje JFAkili zako ndogo,nenda kacheze
UFARANSA WANAKULA FARASI.WEWE UNAYELETEWA DINI UNALAZIMISHWA KULA NGAMIA NA TENDEDini ni neno la kiarabu lenye maana ya njia,kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha,unataka tuongelee dini kwa muktadha upi!?
Wewe ni mental caseUFARANSA WANAKULA FARASI.WEWE UNAYELETEWA DINI UNALAZIMISHWA KULA NGAMIA NA TENDE
acha uduwanzi basi mvaa kobazi na msuli.Katika akili yako,unafikiri huko.majangwani hakuna ziwa na bahari,tumia akili.