Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

Umejifunza wapi nguruwe hakuwepo mashariki ya kati!?...yaani hujiulizi watu kukatazwa kula nguruwe ni kielelezo kwamba nguruwe alikuwepo!!?..
Achana naye huyo,Biblia ya asili iliandikwa mashariki ya kati,jangwani,Yesu aliishi mashariki ya kati jangwani,kwenye Luka 8:29-33 na Isaya 65:5 na aya nyinginezo ametajwa nguruwe.
 
Dini ni neno la kiarabu lenye maana ya njia,kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha,unataka tuongelee dini kwa muktadha upi!?
UFARANSA WANAKULA FARASI.WEWE UNAYELETEWA DINI UNALAZIMISHWA KULA NGAMIA NA TENDE
 
Kuna jamaa kilemba kubwa nilikuwa nabishana nae anasema eti ukila nguruwe mara utapata laana ,eti mara utakuwa hauna akili,Yan ata simuelewi na hoja zake za kukaririshwa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom