Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mbona hueleweki unazungumzia nini!?.. kakwambia nani ulaya hapakuwahi kuwa na Simba!?jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana simba ajatokea barani ulaya...
ushasikia mnyama bear anapatikana mbuga ya serengeti?.mimi na wewe unaeleweka weweMkiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa.
Mbona hueleweki unazungumzia nini!?.. kakwambia nani ulaya hapakuwahi kuwa na Simba!?
Umesema ulaya hapakuwahi kuwa na Simba, kakwambia nani ulaya hapakuwahi kuwa na Simba!?..na kakwambia nani arabuni hapakua na nguruwe!?ushasikia mnyama bear anapatikana mbuga ya serengeti?.mimi na wewe unaeleweka wewe
umesama nini ? embu maliza kutetea dini yakoUmesema ulaya hapakuwahi kuwa na Simba, kakwambia nani ulaya hapakuwahi kuwa na Simba!?..na kakwambia nani arabuni hapakua na nguruwe!?
Uko shallow Sana...weka mada za Simba na yanga ndiyo size yakoumesama nini ? embu maliza kutetea dini yako
😅😅😅Ukijua maana ya neno dini basi utajua kwamba tunasafari ndefu sana ....ww jiulize tu kwa akili yako ya kawaida kabisa tangu lini Mungu akahitaji baunsa wa kumtetea tena kwa binadam alie waumba mwenyewe wakati anauwezo wa kuwafuta mara moja tu.Sasa nguruwe ni haram lakini katika watu wanao tafuna huyo mdudu ni wachina wako bilion 1.5 huyo Mungu kawapa akili na kula kwao nguruwe anakuja mtu anakuambia huyo haram ..wakati huo huyo mtu maisha yamempiga hadi huruma kichwani mweupe.
Luka 8:29-33tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa...
Mwambie asome Luka 8:29-33Uko shallow Sana...weka mada za Simba na yanga ndiyo size yako
Chizi huyo,Hawa watoto uwezo wa kufikiri uko chini Sana,shule haziwasaidiiMwambie asome Luka 8:29-33
Yesu,mapepo aliwaingiza kwa nguruwe,hawa nguruwe walikuwa Israel,nchi ya mashariki ya kati,jangwani.
Na pia asome Isaya 65:5Chizi huyo,Hawa watoto uwezo wa kufikiri uko chini Sana,shule haziwasaidii
ilikuwa ziwani.Mwambie asome Luka 8:29-33
Yesu,mapepo aliwaingiza kwa nguruwe,hawa nguruwe walikuwa Israel,nchi ya mashariki ya kati,jangwani.
MUNGU ALICHUKIZWA NA NGURUWE MBONA AKUWAANGAMIZA KAMA MABAKI YA MIJUSI MIKUBWANa pia asome Isaya 65:5
Mungu anavyochukizwa na nguruwe na mchuzi wake.
mimi na wewe nani chizi umeshaambiwa kuhusu wanyama na walipotokea.kijografia basi ngamia angepatikana congoChizi huyo,Hawa watoto uwezo wa kufikiri uko chini Sana,shule haziwasaidii
Umejifunza wapi nguruwe hakuwepo mashariki ya kati!?...yaani hujiulizi watu kukatazwa kula nguruwe ni kielelezo kwamba nguruwe alikuwepo!!?..mimi na wewe nani chizi umeshaambiwa kuhusu wanyama na walipotokea.kijografia basi ngamia angepatikana congo
umejifunza wapi dini ? tuanze na weweUmejifunza wapi nguruwe hakuwepo mashariki ya kati!?...yaani hujiulizi watu kukatazwa kula nguruwe ni kielelezo kwamba nguruwe alikuwepo!!?..
Dini ni neno la kiarabu lenye maana ya njia,kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha,unataka tuongelee dini kwa muktadha upi!?umejifunza wapi dini ? tuanze na wewe
Embu nenda ukachukue point tatu wakati ushafika mda wa swala.maswala haya tuache unachoulizwa ujibu.Dini ni neno la kiarabu lenye maana ya njia,kwa muktadha wa uislam dini ni mfumo wa maisha,unataka tuongelee dini kwa muktadha upi!?
Katika akili yako,unafikiri huko.majangwani hakuna ziwa na bahari,tumia akili.ilikuwa ziwani.