Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly ni 'mange disease' / ukurutu hakikisha wanapata dawa za minyoo (ivermectin) kila baada ya miez 3.Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami naomba anisaidie wapendwa
Ngozi yao ipo soft ukibrush hakuna madhara?Na nguruwe kila siku jitahidi Sana uwaoshe na kuwasugua kwa brash laini.usafi ni muhimu sana
Ungeweka picha ingependeza zaidi
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami naomba anisaidie wapendwa
Brush kama zile machinga wanauza buku .wanapenda sana wasuguliwe unakuta hadi wanalala chini kwa rahaNgozi yao ipo soft ukibrush hakuna madhara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaaBrush kama zile machinga wanauza buku .wanapenda sana wasuguliwe unakuta hadi wanalala chini kwa raha