Nguruwe kujikuna na kuota vidonda

Nguruwe kujikuna na kuota vidonda

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
366
Reaction score
478
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami naomba anisaidie wapendwa
 
Possibly ni 'mange disease' / ukurutu hakikisha wanapata dawa za minyoo (ivermectin) kila baada ya miez 3.
 
Na nguruwe kila siku jitahidi Sana uwaoshe na kuwasugua kwa brash laini.usafi ni muhimu sana

Ungeweka picha ingependeza zaidi
 
Ngozi yao ipo soft ukibrush hakuna madhara?
 
Inawezekana ni mange infestation nunua acaricides kama amitraz au cypermethirin uwaogeshe na wachomwa dawa za minyoo kwa interval ya week mbili watakaa sawa
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami naomba anisaidie wapendwa
 
Brush kama zile machinga wanauza buku .wanapenda sana wasuguliwe unakuta hadi wanalala chini kwa raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaa
 
Back
Top Bottom