🐖 Nguruwe mmoja anaweza kuuzwa hadi Tsh 1,000,000?👉 Unakubali au Unakataa?

🐖 Nguruwe mmoja anaweza kuuzwa hadi Tsh 1,000,000?👉 Unakubali au Unakataa?

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS 🎙️.

Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamu—
✔️ Je, kibiashara inawezekana kweli?
✔️ Ni aina gani ya nguruwe?
✔️ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo?
✔️ Wapi wengi wanakosea na kupata hasara?

📌 Majibu yote yanachambuliwa kitaalamu, bila kupotosha.

👉 Kama unataka madini ya kutosha, elimu ya vitendo na ufugaji unaoleta faida halisi:
🔔 Subscribe sasa YouTube Channel ya Rubaba TV
Usikose episode kamili ya SHAMBA TALKS.

📲 JIUNGE NA GROUP LETU LA KILIMO & UFUGAJI KIBIASHARA
Pata mafunzo endelevu, uzoefu wa vitendo na fursa za soko.
👉 Tuma neno NIUNGE kwenda WhatsApp 0764 148 221

🧪 Kwa matokeo bora ya ufugaji wako:
👉 Tumia bidhaa za @koudijstanzania – chaguo la wafugaji wanaotaka tija, sio majaribio.

#ShambaTalks
#RubabaTV
#UfugajiWaNguruwe
#KilimoNaUfugaji
#UfugajiBiashara
#NguruweMilioni
#KilimoTanzania
#AgribusinessTZ
#KoudijsTanzania
#ElimuKwaVitendo

 
🔊 TANGAZO LA KAZI - MRADI WA NGURUWE 🔊

Tunatafuta KIJANA mwenye bidii na uwezo wa Kufuga na Kusimamia Mradi wa Nguruwe.

MAJUKUMU:
1. Kulisha, kunywesha na kusafisha zizi
2. Kufuatilia afya za nguruwe na kutoa taarifa
3. Kusimamia usafi na utaratibu wa mradi kwa ujumla

MAHITAJI:
1. Awe na uzoefu au hamu ya kujifunza ufugaji wa nguruwe
2. Awe mwadilifu, mchapakazi
3. Anaweza kuanza kazi mara moja

MAWASILIANO:
Piga au WhatsApp: 0658 308 146

Waombaji walio na sifa wafike haraka.

Maeneo ya mradi ulipo
Dar es salaam
 
Back
Top Bottom