Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS ποΈ.
Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamuβ
βοΈ Je, kibiashara inawezekana kweli?
βοΈ Ni aina gani ya nguruwe?
βοΈ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo?
βοΈ Wapi wengi wanakosea na kupata hasara?
π Majibu yote yanachambuliwa kitaalamu, bila kupotosha.
π Kama unataka madini ya kutosha, elimu ya vitendo na ufugaji unaoleta faida halisi:
π Subscribe sasa YouTube Channel ya Rubaba TV
Usikose episode kamili ya SHAMBA TALKS.
π² JIUNGE NA GROUP LETU LA KILIMO & UFUGAJI KIBIASHARA
Pata mafunzo endelevu, uzoefu wa vitendo na fursa za soko.
π Tuma neno NIUNGE kwenda WhatsApp 0764 148 221
π§ͺ Kwa matokeo bora ya ufugaji wako:
π Tumia bidhaa za @koudijstanzania β chaguo la wafugaji wanaotaka tija, sio majaribio.
#ShambaTalks
#RubabaTV
#UfugajiWaNguruwe
#KilimoNaUfugaji
#UfugajiBiashara
#NguruweMilioni
#KilimoTanzania
#AgribusinessTZ
#KoudijsTanzania
#ElimuKwaVitendo