Mie sina majibu ya tatizo lako, ila nimekuwa interested Tu na hiyo issueWanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Hongera mkuu.Kwa faida ya wafugaji wenzangu wa nguruwe,
Nilibahatika kupata ufumbuzi wa tatizo la nguruwe wangu na nashukuru sasa anaendelea vema,
Dr ameniambia nguruwe wangu alikua akisumbuliwa na moja ya matatizo yafuatayo ambayo yote yanamahusiano na utendaji kazi wa figo,
1)Kisukari
2)bacteria wanaoshambulia figo
Dr amenieleza dawa nzuri kwa tatizo ni sulphar,
Nimemchoma sulphar na kwa sasa mnyama anaendelea vizuri.
Note:
Dr alishauri licha yakuwa OTC inauwezo wakutibu tatizo hili lakini alishauri kutotumia OTC kabisa kwani moja ya side effect ya OTC hupelekea mkusanyiko wa kemikali kwenye figo ambayo tayari inatatizo.
Asanteni.
Kwa faida ya wafugaji wenzangu wa nguruwe,

Mpeleke msikitini akapigiwe dua la maana jombaa🤣🤣🤣😁😄😃😂Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Hahahaaaa hahahaaaa jamaa pimbi sana aiseeMpeleke msikitini akapigiwe dua la maana jombaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1][emoji2][emoji23]