Nguvu iliyotumika kwenye tukio la penati ya Stars imeendana na tukio lenyewe

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ?

Je , unataka na refa akacheki kwenye VAR azue taharuki kwa wanaMoroko waliojaa uwanjani wangevamia ingekuwaje usalama ungekuwepo ?
 
shida tunakosa nguvu za kutetea hili kwakuwa si wenyewe sio watu wa haki

ila ile penati na refa amekosea kutokwenda kwenye var
 
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png
 
shida tunakosa nguvu za kutetea hili kwakuwa si wenyewe sio watu wa haki

ila ile penati na refa amekosea kutokwenda kwenye var
Unadhani Morocco wangekubali? Ulitaka fujo itokee na amani itoweke uwanjani?Waarabu unawajua fujo zao, wangevuruga amani ya Afcon. Bora amani imetunzwa na refarii.
 
Waende wakaimbe tena kale ka wimbo walituimbia(sisi ni wale wale by zuchu)
 
Refa kajikuta kwenye situation ya kuchagua kimoja kati ya haki au amani. Akaona achague amani
 
Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ?

Je , unataka na refa akacheki kwenye VAR azue taharuki kwa wanaMoroko waliojaa uwanjani wangevamia ingekuwaje usalama ungekuwepo ?
Ni sahihi kabisa. Refa akazingatia amani kwanza.
 
Back
Top Bottom