Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Heshimu maoni yangu mkuuUmedata mkuu haupo sawa
Mimi kama mtu wa amani nasapoti maamuzi na nakubali matokeoItoshe tu kusema Mama na chawa wake waelewe refa anapenda amani kuliko haki kama ilivyo kwa mama yetu mpendwa.
Poa poaHeshimu maoni yangu mkuu
shida tunakosa nguvu za kutetea hili kwakuwa si wenyewe sio watu wa haki
ila ile penati na refa amekosea kutokwenda kwenye var
Na yule jamaa aliyekuwa analalamika kwenye benchi la stars mpaka akapewa yellow card sio mtanzaniaAmani kwanza.
Kisha haki na mengine yafuate.
Angeweka penati kungevunjika amani uwanjani.
Unadhani Morocco wangekubali? Ulitaka fujo itokee na amani itoweke uwanjani?Waarabu unawajua fujo zao, wangevuruga amani ya Afcon. Bora amani imetunzwa na refarii.shida tunakosa nguvu za kutetea hili kwakuwa si wenyewe sio watu wa haki
ila ile penati na refa amekosea kutokwenda kwenye var
Ni sahihi kabisa. Refa akazingatia amani kwanza.Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ?
Je , unataka na refa akacheki kwenye VAR azue taharuki kwa wanaMoroko waliojaa uwanjani wangevamia ingekuwaje usalama ungekuwepo ?