Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Kwanza kabisa,

Swali hili kuwapelekea wanaoamini uwepo wa mungu unawaonea. Imani haitaki maswali. Waumini wameambiwa kuamini tu, ukiuliza sana maswali kwenye imani yako unaweza kukufuru. Binafsi mimi sina matatizo na waumini hawa wanaoamini tu imani zao, nina matatizo na wale wanaosisitiza kwamba imani zao ndizo za kweli.

You will need to be specific on which force are you referring to.

The four major forces of the Standard Model of Physics are the weak nuclear force, the strong nuclear force, electromagnetism and gravity.

For more see Standard Model - Wikipedia, the free encyclopedia

Kisayansi ukitaka kujua nguvu inavyoweza kutengeneza kitu angalia maji, uvutano na entropy zinavyoumba mto

DK Find Out! | Fun Facts for Kids on Animals, Earth, History and more!

Ona galaxy formation

DK Find Out! | Fun Facts for Kids on Animals, Earth, History and more!

Swali lako ni zuri sana, kwa sababu, kwa kawaida, kufuatilisha the second law of thermodynamics, in a closed system, entropy tends to increase, things move from order to disorder


Second law of thermodynamics - Wikipedia, the free encyclopedia

So how does something like life evolve from non living things if at all things are supposed to move only from order to chaos?

Does Life On Earth Violate the Second Law of Thermodynamics


So even though the second law of thermodynamics is valid, the earth is not an isolated system and the law stands to be validated on the universe as a whole when enough time passes and the average entropy increases to the maximum possible level.
 
Big Bang - Eti ndiyo mwanzo wa yote. At the beginning there was nothing and then it exploded to create the whole universe (millions of galaxies, billions of stars, planets, black holes, dark energy, anti matter etc). Kuna mambo ambayo akili ya binadamu haiwezi kuyaelewa kwa sababu ni ya kiwango cha juu mno. Ukiuliza na hiyo Big Bang ilitoka wapi na kabla yake kulikuwa na nini unaleta mfarakano.
 
Scientiic research ngapi zimefanywa kujua sisimizi anajua nini hasa kwa kumuingilia ubongoni mwake na kuona kama anavyoona yeye?

Umesoma ngapi na zinasemaje?

Are you an entomologist?
Tafiti nyingi sana zimefanyika kuhusiana na hawa wadudu hadi wengine imejulikana kuwa ndani ya jicho lao lile moja kuna macho mengi sana yenye lensi zinazojitegemea(mfano panzi) na mambo mengine mengi pia yamegundulika kuhusiana nao hadi wakawa classified kwenye classes,groups,e.t.c!!
 
Unapokua unaongelea science ukichanganya na mambo ya Mungu utaanza kwenda chaka baadhi ya maeneo, kwa kua vitu vingi tu kwenye bible havijawahi kua proved, vinaenda kwa imani, kwa hiyo kama unaamini sawa, ambaye haamini naye vilevile.

Turudi kwenye mada, ukiwa unaongelea kubadilisha kitu kati ya energy na mass (maana mass ndiyo inatengeneza object) inabidi ukumbuke equation moja ya muhimu sana ya bwana Einstein
Code:
E = mc^2
Sasa ni rahisi kubadilisha mass kua energy, lakini unavyokuja kuirudisha nyuma yaani energy kua mass hapo ndipo kuna kasheshe, kama umeona hiyo speed of light squared, itahitajika energy kubwa sana kuweza kutengeneza mass ndogo mno, kwa hiyo ndiyo itakua inawezekana theoretically lakini hakuna experiment ambayo najua imefanyika hadi leo kuprove hilo. Wanasayansi wanalifanyia kazi
 
Hiyo ya jicho si niliyoiulizia.

Nimeulizia ya kuingia kwenye ubongo wake na kuona anachofikiri.

Naomba unipatie link hapa.
 
Hakuna upumbavu mkubwa kama binadamu kuhoji juu ya uumbaji wa mungu!!....ni sawa na sisimizi atake kuuumiza kichwa na kuhoji juu ya ni jinsi gani binadamu ameweza kupeleka chombo kwenye sayari ya pluto,hakika hatapata jibu!!!!
kwako ni upumbavu lkn kwangu sio! lzm nihoji panapostahili..
 
Mkuu hilo linawezekani! miaka ya 90 nikiwa nasoma std 1 shuleni kwetu tulitembelewa na mtu waajabu mtu wa mazinga ombwe akavuta Lori na unywele mmja/ alifungua chupa ya soda kwa kuiambia funguka/ Ali ita nyoka wa kila aina wakajaa ktk uwanja wa shule/
Kubwa zaidi aliotesha kichuguu mlima ambao mpaka Leo shuleni hapo kichuguu bado kipo.
Mwaka 2008 nilikiwa ktk pilikaipilika zangu Sikonge Tabora nilikutana na mtu niliye mfananisha na hilo jamaa nikamuuliza w
 
Mkuu Kiranga hiyo lugha mengine yananipiga chenga kama unaweza kutafsiri kwa lugha yetu pendwa kiswahili hata kwa uchache itakuwa gud gud...
 
Nadhani kama na humu wapo waje watueleze kinagaubaga inakuaje hapa nguvu kuzalisha object inafanyikaje..
 
Hakuna upumbavu mkubwa kama binadamu kuhoji juu ya uumbaji wa mungu!!....ni sawa na sisimizi atake kuuumiza kichwa na kuhoji juu ya ni jinsi gani binadamu ameweza kupeleka chombo kwenye sayari ya pluto,hakika hatapata jibu!!!!
Na ni upumbavu mkubwa sana kujifanya unamjua na kumtetea mungu ambae hata hayupo
 
Na ni upumbavu mkubwa sana kujifanya unamjua na kumtetea mungu ambae hata hayupo
Ni heri uamini kuwa mungu yupo halafu ukifa usimkute kuliko kuamini kuwa mungu hayupo halafu ukifa umkute!!!(Hakika utajuta kuletwa humu duniani kwa kuwa chakula chako kitakuwa moto!!)
 
Ni heri uamini kuwa mungu yupo na ukifa usimkute kuliko kuamini kuwa mungu hayupo halafu ukifa umkute!!!(Hakika utajuta kuletwa humu duniani kwa kuwa chakula chako kitakuwa moto!!)
Hakiwezekani kuwepo na Mungu kama huyo
 
Energy na object mkuu mm n mwana arts ila nahis object yenyewe imeundwa.
Na atom ambazo zimeumbwa na proton electron na neutron ambazo. Ni energy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…