My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
Asilimia chache maana sio wote, kuna wengine hatuangalii hata hizo pesa zenu ila tunakutana na matukio tu mpaka unajiwazia au mapenzi sikuandikiwa nini🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia chache maana sio wote, kuna wengine hatuangalii hata hizo pesa zenu ila tunakutana na matukio tu mpaka unajiwazia au mapenzi sikuandikiwa nini🤔
Hahaha siamini kama nyuzi zote zinaweza kukugusa wewe tu.Ndo mpokezane kutufungulia nyuzi asubuh huyu mchana huyu usiku huyu.
Ahahaaaa sawa banaHahaha siamini kama nyuzi zote zinaweza kukugusa wewe tu.
Endapo kila uzi unagusa tabia yako...wanasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Hebu pokea kama ujumbe maalumu toka kwa Mungu tendea kazi na ubadilike
Sio lazima awe wewe😂😂 sawa
😂😂😂😂Sio lazima awe wewe
Kwanini umecheka sisy😂😂😂😂
Bro nimejikuta nacheka sana
Nitakuambia nikikumbukaKwanini umecheka sisy
Hii post ifanyiwe lamination kabisaNguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini.
Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k
Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio maana hela ya mwanaume inakuwa ni ya wote, na hela ya mwanamke inakuwa ni ya kwake.
Ndio maana mwanaume fukara, asiyekuwa na kipato au ramani ya maisha; huwa anakimbiwa na wanawake, kwa sababu anakuwa hana vitu ambavyo humvutia mwanamke.
Kama itatokea mwanaume akapendwa na mwanamke aliyejitosheleza kiuchumi, na mwanamke ndio akawa analipa 'bill' bila kugusa hela ya mwanaume; hapo ndipo kutakuwa na mapenzi ya kweli; kwa sababu kilichomvutia mwanamke kwenye hayo mahusiano sio pesa, bali ni upendo tu.
Umeiweka sawia, 'mwanamke wa sasa'! Maana wengine tukingalia jinsi wazee wetu walivyoishi, maswali hayaishi kuwa nini kiliwafanya wadumu zaidi ya nusu Karne na pia ukweli kuwa, kama isingekuwa kuwepo Kwa Mama, na usomi na kazi yake, sijui tungeishia wapi kama familia!Kama huna pesa hakuna mwanamke
WA sasa atakubali kuvumilia shida na ww
Wanawake 90% wakiwa na pesa za maana hawawezi kamwe kua wife material.Jiwe la gizani...
Sasaivi utasikia yalaaa...
Ndoa ni hitaji la kila mwanaume na mwanamke. Kuolewa kwa mwanamke siyo umasikini bali ni hitaji la kibinadamu ndiyo maana babu zetu waliweza kuoa wakiwa wanaishi maporini.
Kutokana na nyakati kubadilika na maadili kushuka kumekuwepo na kundi kubwa la wanawake wenye tamaa ya mali.
Mwanamke ameumbwa kumtegemea mwanaume hata ndoto za mwanamke zinakamilishwa na mwanaume.
Mwanamke ni mbinafsi toka enzi za Adamu na Eva
Bila ngekewa ya mwanamke huwezi pata hayo yoooote ukampatia matumizi yote hayo!! kwani hujaona Matajiri wa Mtaani kwenu wamefilisika mbaya baada ya kumuacha mke wa Kwanza? aliye chuma nae?Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k
Glenn leo umeongea pointKwasasa mwanaume ukitaka kuoa usitanguluze pesa jifanye kauzu kidogo uone atakayekuvumilia huyo kwa asilimia flani aweza kuwa akupenda kweli
Daah mkuu haya matusi mazito sana...kumbe siku zote nashusha mashudu matupu baba?🤣🤣🤣🤣Glenn leo umeongea point
I mean point ya leo imenigusa.Daah mkuu haya matusi mazito sana...kumbe siku zote nashusha mashudu matupu baba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]