GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli.
Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na Mapungufu yake (ambayo hata Mimi na Wewe tunayo yetu) ila kwanini GENTAMYCINE nilimpenda na namkumbuka zaidi ni kwamba alikuwa si Mpumbavu na wala hakuwa Mnafiki.
Baada ya Kukubali Kutukanwa na Kushambuliwa kwa Kumpenda Hayati Magufuli na aina ya Uongozi wake tukaamua Kunyamaza na Kumshtakia Mwenyezi Mungu na kwa wenye Maono akina GENTAMYCINE sasa kwa mbaaaali tunaanza kuona Matokeo ya Mashtaka yetu kwa Maulana ( Mola ) kwa Dereva Kushindwa kuhimili Kuendesha vyema Basii lake.
R.I.P Hayati John Pombe Magufuli.