Sina haja ya kurudi kusoma History tena wakati wewe uliyeyasema hayo unaweza kutetea hoja yako.Rudi shule ukasome history-sio wewe tu,wengi hawajui hii kitu
Ku google naya taabu!!!! some brains!!! anyway ndio shule zetu hizi! Elizabeth alikuwa katika hotel ya Treetops,Kenya on holiday wakati King George anafariki- next time pull up your f-----g socksSina haja ya kurudi kusoma History tena wakati wewe uliyeyasema hayo unaweza kutetea hoja yako.
Sasa hebu tupe uthibitisho katika hilo.
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
hahahaha jg is never boring16.Ana Uwezo wa kupata Mimba
Mimi nafikiri number 16 Ndiyo muhimu kuliko zote,au wadau mnasemaje?
@Jimena,@Bennie,@Areta Njoeni huku muone uwezo wa Malkia!
Googling is so easy n cheap....it costs nothing since I do chatting using the same mechanism (bundle) of which I could use in googling sphereKu google naya taabu!!!! some brains!!! anyway ndio shule zetu hizi! Elizabeth alikuwa katika hotel ya Treetops,Kenya on holiday wakati King George anafariki- next time pull up your f-----g socks
wewe mutu nimeshakwambia Elizabeth alikuwa Kenya wakati Baba yake anafariki-labda kwa lugha hii tutaelewanaGoogling is so easy n cheap....it costs nothing since I do chatting using the same mechanism (bundle) of which I could use in googling sphere
Bt the fact that ua the one who brought this on the table...again u should elaborate it chick....la sivyo I still call people of ua kind Mbumbumbu wabwabwajaji.
U there?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Halaf tukifa wote eti Mungu atuchome moto sawa na malkia Elizabeth,aiseeee!!!nitashangaaaaa
Na ulivyoniambia hivyo ikawaje?wewe mutu nimeshakwambia Elizabeth alikuwa Kenya wakati Baba yake anafariki-labda kwa lugha hii tutaelewana
Hahahahah duu uwezo mkubwa uoAisee! Nimecheka sana.
Nami naomba namba 17 Iwe ana uwezo pia wa kunya
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Halaf tukifa wote eti Mungu atuchome moto sawa na malkia Elizabeth,aiseeee!!!nitashangaaaaa
Freemason ni mawazo ya kimaskiniFreemason ndio nini?
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri na kuchimba mambo.Secret societies zipo nyingi duniani.watu zaidi ya bilioni moja sio wajinga wa kuongelea kitu ambacho hakipoFreemasons ni PROPAGANDA
Ni uongo uongo tu uliotungwa na watu...hakuna kitu kama hicho.
Keep on reading.Kusoma hufuta ujingaFreemasons ni PROPAGANDA
Ni uongo uongo tu uliotungwa na watu...hakuna kitu kama hicho.
Nimeshawaambia ninyi kuwa:-Inategemea na uwezo wako wa kufikiri na kuchimba mambo.Secret societies zipo nyingi duniani.watu zaidi ya bilioni moja sio wajinga wa kuongelea kitu ambacho hakipo
Hahaha...prove that Freemasons existKeep on reading.Kusoma hufuta ujinga
Unaweza kumuuliza Sir Chande yuko hapo DAR,ambae alikuwa ni mwenyekiti wa freemason afrika mashariki.Na kitabu alitoa.Jitahidi kusomaHahaha...prove that Freemasons exist
Failing to prove that will justify the rumours u blv...!