Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Rudi shule ukasome history-sio wewe tu,wengi hawajui hii kitu
Sina haja ya kurudi kusoma History tena wakati wewe uliyeyasema hayo unaweza kutetea hoja yako.

Sasa hebu tupe uthibitisho katika hilo.
 
Sina haja ya kurudi kusoma History tena wakati wewe uliyeyasema hayo unaweza kutetea hoja yako.

Sasa hebu tupe uthibitisho katika hilo.
Ku google naya taabu!!!! some brains!!! anyway ndio shule zetu hizi! Elizabeth alikuwa katika hotel ya Treetops,Kenya on holiday wakati King George anafariki- next time pull up your f-----g socks
 
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake

Anzisha wewe nchi uwe na mamlaka namna hiyo hata kama unapendwa na watu, utaitwa Dikteta. Tena itatumiwa CNN mara BBC.
Sijui huyo wanamtafsiri vipi na mamlaka hayo kwenye nchi nyingine, pia uwezo wake wa kimadaraka. Sioni tofauti katia yake na Adolf Hitler au Benito Mussoline hapo labda iwe kwenye ukatili wa waziwazi. Ila kimadaraka wanakaribiana

"Kuku akinya kanya ila anye Bata, kaharisha"
 
Ku google naya taabu!!!! some brains!!! anyway ndio shule zetu hizi! Elizabeth alikuwa katika hotel ya Treetops,Kenya on holiday wakati King George anafariki- next time pull up your f-----g socks
Googling is so easy n cheap....it costs nothing since I do chatting using the same mechanism (bundle) of which I could use in googling sphere

Bt the fact that ua the one who brought this on the table...again u should elaborate it chick....la sivyo I still call people of ua kind Mbumbumbu wabwabwajaji.

U there?
 
wewe mutu nimeshakwambia Elizabeth alikuwa Kenya wakati Baba yake anafariki-labda kwa lugha hii tutaelewana
 
Shet'ani yupo karibu na Mungu zaidi ya sisi Bin'adamu
Pia Malkia ndiye Mmiliki ya Ardhi yote ya Uingereza,Ikiwa na maana pale ndipo kwao,wao na babu wa babu na babu wa babu aliye babu wa bau na babu X 10,000 Yao kwao na wao.
Walikuwa ni majambazi waliotukuka wababe pia wahuni walio kubuhu.
 
OTz, post: 19657024, member: 383171"]Ni la propaganda za kifreemason

Freemason ni idea kama ilivyo habari za Alliens, Vampire, Dragons n.k[/QUOTE]
Teh teh teh...kwa hiyo hakuna shughuli zozote zinaendelea mle ndani..?....ni kjust ju
 
Freemasons ni PROPAGANDA

Ni uongo uongo tu uliotungwa na watu...hakuna kitu kama hicho.
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri na kuchimba mambo.Secret societies zipo nyingi duniani.watu zaidi ya bilioni moja sio wajinga wa kuongelea kitu ambacho hakipo
 
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri na kuchimba mambo.Secret societies zipo nyingi duniani.watu zaidi ya bilioni moja sio wajinga wa kuongelea kitu ambacho hakipo
Nimeshawaambia ninyi kuwa:-

Thibitisheni kuwa Freemasons wapo.
 
Hahaha...prove that Freemasons exist

Failing to prove that will justify the rumours u blv...!
Unaweza kumuuliza Sir Chande yuko hapo DAR,ambae alikuwa ni mwenyekiti wa freemason afrika mashariki.Na kitabu alitoa.Jitahidi kusoma
 
Back
Top Bottom