Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Tony Blair alimshauri alipe kodi na mpaka Sasa analipa kama sisi
 
Mkuu,hebu Dadavua kidogo basi?
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
 
Last edited:
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Australia, Aborigines wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
Hahahaha
 
Hajawahi ku mess Na Roberto wa Zimbabwe
 
Ha ha ha ha safi sana!
 
Eti mmeacha kula watu?
Asante Mkuu.
 
Halaf tukifa wote eti Mungu atuchome moto sawa na malkia Elizabeth,aiseeee!!!nitashangaaaaa
Usishangae mkuu.Huyo atachomwa moto (ataingia motoni) kama walivyo binadamu wengine wanaoishi humu duniani kwa rai zao na elimu zao na si vile anavyotaka Muumbaji wao.Usitishike na hizo zinazoitwa nguvu,ni nguvu za mapito na jeuri ya muda tu.Kwa kuongezea huyu bibi ni 33 degree member wa freemason.This is highest degree in this satanic society.
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Australia, Aborigines wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?

Kwani walikua wanakula watu!!!?
 
Kwa wasioelewa hizo zinaitwa " PREROGATIVE POWERS'' ambazo hata Tanzania kwa kuwa tilirithi legal system ya huko tunazo kwenye katiba angalau kwa uchache na ndizo hizo watu wasioelewa wanapiga kelele eti ....!!! power za Raisi zipunguzwe. kutakuwa na umuhimu heshima , na woga kwa raisi akiwa hana power za ziada tofauti na raia au viongozi wengine? Raisi ni symbol ya umoja, nguvu na mamlaka kwa watu wake, ni nabiii wa kutoa mwongozo sahihi kwa watu wake na ni alama ya kitisho kwa maadui wa nchi hivyo anatakiwa awe na nguvu za ziada.
 
Yaan huyo prince kwanini aliuliza wanakula watu,ni kweli walikua wanakula watu?
Ndio huwa wanakula watu tena mifupa wanahifadhi kama ushahidi. Kuna mwingereza mmoja alikwenda huko baada ya kufika kijijini wakawaambia wasipoondoka mpaka asubuhi wanakuwa kitoweo.

Jamaa alitoka nduki
 
Back
Top Bottom