White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Inatakiwa moto wake uwe wa gesi sisi wengne uwe wa mabuaUsishangae mkuu.Huyo atachomwa moto (ataingia motoni) kama walivyo binadamu wengine wanaoishi humu duniani kwa rai zao na elimu zao na si vile anavyotaka Muumbaji wao.Usitishike na hizo zinazoitwa nguvu,ni nguvu za mapito na jeuri ya muda tu.Kwa kuongezea huyu bibi ni 33 degree member wa freemason.This is highest degree in this satanic society.
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

jumamosi gani ya julai ya kwanza, kati, mwisho ama zote?
Kabisa16.Ana Uwezo wa kupata Mimba
Mimi nafikiri number 16 Ndiyo muhimu kuliko zote,au wadau mnasemaje?
@Jimena,@Bennie,@Areta Njoeni huku muone uwezo wa Malkia!
Lakin anatombwa kama kawaida1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Hana kinga ya kutoshitakiwa, na Hana uwezo wa kutolipa kodi, mtoa mada upo nchi gani? usikurupuke1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
16.Ana Uwezo wa kupata Mimba
Mimi nafikiri number 16 Ndiyo muhimu kuliko zote,au wadau mnasemaje?
@Jimena,@Bennie,@Areta Njoeni huku muone uwezo wa Malkia!
Yaani Mo11 huwa nikiangalia majibu yake huwa nacheka sana ni best comedian humuduh!! uyo jamaa atakuwa na undugu na Mo11 hahah
33°CAbove 33 degrees.....?.....hebu tell me more.......
Dhambi zote sawaHalaf tukifa wote eti Mungu atuchome moto sawa na malkia Elizabeth,aiseeee!!!nitashangaaaaa
16.Ana Uwezo wa kupata Mimba
Mimi nafikiri number 16 Ndiyo muhimu kuliko zote,au wadau mnasemaje?
@Jimena,@Bennie,@Areta Njoeni huku muone uwezo wa Malkia!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Uooooooooooooongoooooooo
Nani alikuambia huyu mshekuu anakula makande kama wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]