Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Usishangae mkuu.Huyo atachomwa moto (ataingia motoni) kama walivyo binadamu wengine wanaoishi humu duniani kwa rai zao na elimu zao na si vile anavyotaka Muumbaji wao.Usitishike na hizo zinazoitwa nguvu,ni nguvu za mapito na jeuri ya muda tu.Kwa kuongezea huyu bibi ni 33 degree member wa freemason.This is highest degree in this satanic society.
Inatakiwa moto wake uwe wa gesi sisi wengne uwe wa mabua
 
Wazungu wanashida sasa wanataka tufanye mambo yanayowashinda wao kufanya,Iko wapi demokrasia hapo mamlka yote yapo chini ya mtu mmoja
 
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

jumamosi gani ya julai ya kwanza, kati, mwisho ama zote?
 
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Lakin anatombwa kama kawaida
Af akifa anazkwa chn km kawaida
 
Hana kinga ya kutoshitakiwa, na Hana uwezo wa kutolipa kodi, mtoa mada upo nchi gani? usikurupuke
 
Pia akiwa kwenye hafla akiweka mkoba/pochi yake juu ya meza hyo hafla lazima iishe ndani ya dakika 5
 
Na umalikia aliupata akiwa holiday Kenya,ndio maana muingereza hana ujanja kwa mkenya
 
Back
Top Bottom