Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Ila akifa anazikwa ardhini na sio angani
 
Wanaoamini juu ya freemasonry, aliens, uchawi, ulozi, ushirikina ni watu wenye upeo Mdogo sana wa kufikiri sababu yote hayo hayapo.
Kabisaaa...ni wajinga ndio wanaoamini ujinga.
 
T

Jengo lao pale karibu na hotel ile ni la nini mkuu..?
Ni la propaganda za kifreemason

Freemason ni idea kama ilivyo habari za Alliens, Vampire, Dragons n.k
 
Rais Mugabe was zimbambwe Msomi mwenye Degree zaid ya tatu na zisizozid saba alitunukiwa cheo cha NIGHT of templer yan shani kwa mashujaa wanaoheshimika kule England na bibie huyu Elizabeth baada ya mda kupita Bibie huyu elizabeth akamvua ile shani sijui kwa nn, na pia kuna sehem nilisoma bibie huyu alikuwa na mahusiano kidogo na MUGABE pia utawala wa kiarabu ulitaka kuweka damu yao pale kwenye hekalu lakin wajuaji wa mambo wakafanya tukio la kuweza kunusuru England isiwe ARAB state.....
najua wajua ila naomba kujuzwa zaid
 
Back
Top Bottom