Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Pigeni pesa tuu mbona wahindi wanapiga pesa na betting zao mi siwezi hangaika
 
Pamoja sana chief...
Nakuongeza kwa taglist
Mkuu habari za Jumapili
Bandiko zuri sana hasa sisi wazee wa Forex nitag kama kawaida
Lakini kule kwenye Vipepeo Weusi Na other half umetuchunia kabisa hata kwenye web site hakuna kitu
 
I salute you The bold!

Mkuu, naomba uwe unani-tag kwenye maandiko yako.

Ni wachache wanaoandika vitu vya kufikirisha na kuvutia kuendelea kuvisoma.

Hongera!
 
maoni yangu:.
sii kila mtu anaye onekana kukosoa ama kutofautiana kimawazo aitwe hater, and his/her own opinions ziitwe 'unfounded'
  1. kuna walio taka fursa ya kuijua biashara hii kupitia darasa la ONTARIO hawakufanikiwa-hawana pengine pa kusemea sikitiko lao zaidi ya hapa na wasiitwe haters
  2. kunawalio bahatika kuingia darasa la ONTARIO wakaelewa ila walikuwa na matarajio ya juu huku wakiwa na mitaji kidogo walivyo unguza account hawakuweza kuinuka tena-hawana platform yakusemea hasira zao tofauti na hapa.. nao wasiitwe haters
  3. kuna walio ingia mikopo kwa ajili ya hii kitu na wakateketeza pesa zao ama kwa kujua/kutokujua na hawaweki wazi tu yaliyo wasibu.. na hawana sehemu nyingine ya kutema nyongo zao zaidi ya hapa, hao nao tusiwaite haters
  4. kuna walio pata ufadhili kwa ahadi kwamba wewe nenda kasome nitakupatia mtaji na tutakuwa tunagawana faida mwisho wa siku aliyetumwa akaunguza account si zaidi ya mara mbili na kajikita kaingia ktk mgogoro na aliye mfafhili... naye hana sehemu ya kusemea, basi tusimwite hater huyo anapunguza sumusumu

binafsi sikufanikiwa japo nilitamani kuungana na wenzangu kujua uhalisia wa hiki kitu kwahiyo siwez sema this thing isn't realdeal. baadhi walio pita huko wanasema waliingia na kutoka wakaingia wakatoka tena why? does it pay to that level? or it doesn't..
kuna kama ijumaa tatu zimepita ndani ya hizo ijumaa niichukue moja(japo sikumbuki tarehe rasmi) kama sample nimeamka siku hiyo nakutana na mdau analalamika kuwa usiku wa kuamkia ijumaa hiyo amefanya maajabu ya kuteketeza account.
the same day naingia humu jf nakutana na mlalamikaji mwingine kuwa jana yake usiku account imeungua. What happened then? siku moja mlalamikaji zaidi ya mmoja?

hitimisho.
kila mtu anayo fursa ya kutoa maoni yake kwa uelewa wake asiitwe hater wewe kama kweli unadownload pesa na unaona wanaoku challenge ni haters waache wafe na umasikini wao.

FRANCIS DA DON
Padri Mcharo
The bold
na master chief mwenyewe Jeff.
 
Story zake nying anatoa mindaon sema kipaji chake ni uwezo wa kuchambua na kufanya presentation katika namna ambayo inakuwa rahis hata mwenye kichwa kigumu kuelewa
Haters! Jamaa anapiga hela ma.nina
 
Watu wamewahi kuconclude na kumwaga povu hila hii stori haiendi kuponda forex kama mnavyodhani
Mtu yyte anayeponda forex ni mvivu wa kusoma, na pia hana uwezo wa kusoma na kufundishika.

Kwa mfano ni dhahiri kwamba kama shueln ulisoma masomo fulan kwasabb ulikuwa unayependa na kuyaelewa na nikaacha masomo fulan basi hata maisha ya duniani yako hivyo hivyo.

Kuna watu ambao wanaweza kujifunza biashara ya forex na wakaifanya kwa kupata profit kwenye Kila trade anayoifanya na wapo ambao wanaofanya kwa mkumbo tuu bila kujua wanataka na wanafanya nini na hawa wataishia kuweka hela nyingi na siku ya mwisho zote zinapukutika.

Kama zilivyo changamoto za biashara nyingine duniani huwez ukaanza ukasema nina biashara yangu hii na nataka ni break even the first month of my business. Inategemea na ukubwa wa biashara. Ukianzisha viwanda tegemea break even miaka 5-10, ukianza kwa kuuza duka la Nguo tegemea break even a year or two, ukianza kwa duka la mangi break even baada ya miaka 7 so forth.

Tatizo letu watanzania sisi ni wavivu kusoma kisha tunataka ukiweka dola 200 this week next week unazo 600. Ikasahau kwamba soko linakuwa controlled ba watu wengi na kila mmoja anavutia kwake.

Hii biashara inahitaj elimu, subira, na kutokukata tamaa.

Nashauri kama mtu ni mvivu wa kusoma halafu pia hapendi kufikirsha ubongo asiingie kwenye hii biashara atajuta kwa presha
 
Hivi kama FOREX ni biashara kubwa, nzuri, inayolipa na kujenga uchumi wa watu. Ni kwanini mtumie nguvu nyingi sana kuaminisha watu kuhusu kupata pesa za FOREX kwa kufanya biashara hiyo badala ya KUENDELEA KUIFANYA TU NINYI WENYEWE ILI MUWE MABILIONEA kama watu hawataki kwanini mnawalazimisha ?
 
Ha ha Wabongo hawapendi facts ndio kwanza episode one hatujajua theme ya author
 
Story zake nying anatoa mindaon sema kipaji chake ni uwezo wa kuchambua na kufanya presentation katika namna ambayo inakuwa rahis hata mwenye kichwa kigumu kuelewa
Ni kweli kuwa jamaa anakipaji kikubwa sio tu cha kufanya presentation vizuri bali pia ana kipaji cha kukusanya taarifa zinazohusu kitu fulani.
Pia anakipaji cha kuchomekea maneno ili kuifanya habari ifurahishe kama vile alivyochomekea habari za polisi oyesterbay, kuombwa amuelezee kigogo fulani kuhusu forex. Hivi vitu hata kama vimetokea kweli lakini sio kama vile alivyo vikuza. Mfano huyo mzee wa taasisi aliemuita sio mtu mkubwa hivyo, na kama huyo ni mtu mkubwa basi hajui vizuri kazi yake, au kama anajua kazi yake basi huyu The Bold ni mfanyakazi wa hiyo taasisi.

Mastori ya kuazima koti kwa Meja ni mbwembwe tu ktk kukujenga uone jamaa ni mtu fulani ambae ni an inside man ktk mifumo yetu ya kiusalama na ulinzi.

UKWELI NI KWAMBA The bold ANA AKILI NYINGI NA KIPAJI KIKUBWA CHA UANDISHI NA CHA KUKUSANYA TAARIFA, NA KUZIWASILISHA KTK LUGHA RAISI.
 
I totally agree!
 
Hivi kama FOREX ni biashara kubwa, nzuri, inayolipa na kujenga uchumi wa watu. Ni kwanini mtumie nguvu nyingi sana kuaminisha watu kuhusu kupata pesa za FOREX kwa kufanya biashara hiyo badala ya KUENDELEA KUIFANYA TU NINYI WENYEWE ILI MUWE MABILIONEA kama watu hawataki kwanini mnawalazimisha ?

It’s not all it is cracked up to be.

If it were, then best believe most Americans would be doing it.

But they are not.

Ask yourself why!
 
Back
Top Bottom