Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Huu ndio unafiki tunaopiga vita sasa.
Weka hapa huo ushahidi tuamini.
Bila shaka hukumpigia cm, Bali ulimuomba kwa maandishi.
Weka evidence nivue nguo zote hapa Kariakoo.
Inaonesha unapenda sana kuvua nguo angalia usije kubakwa tu
 
Hukuielewa movie.. The root of its all is people chasing {$€£} money... Ndio maana inawablind.. Life is not only chasing money.. People dd live waay before money.. And today primarily we still need more or less the same basic needs.. Food, Shelter and Clothing.. How much money do one need to get all these at a comfortably basic level...

Vitu vinavyotufanya tuhitaji sana pesa sometimes ni ujinga tu wa jamii za kileo.. Fashion being one of them... (Self entitlement) In return tutajuta (sisi)..if not the next generation.
Irrelevant content, thanks 4 trying. By the way, hao watu wa Forex pale JANGID wanachase maembe au?, na hawa devoted followers wana-expect nini kama si pesa ya bure bila kuivujia jasho ( bila kuzalisha mali/ huduma yeyote ile).
 
Waungwana naombeni mniambie Part 2 ipo post namba ngapi niifuate maana nimeitafuta huko ndani nakutana na matusi tu
 
Jamaa una kipaji kikubwa hongera. Lakini hongera zaidi kwasababu ni moja ya vijana wachache Tanzania wanaosoma vitabu.
Jamaa anakipaji tena kikubwa. Lakini jambo moja ni kuwa stori zingine anatoa mitandaoni sio baada ya kusoma vitabu.
 
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.

=====================================
Hili tangazo la biashara linasema kwamba;

1.) Office za Forex Tanzania zinazoendeshwa na 'Ontario' zipo JANGID TOWER.

2.) Kwa kufanya hii biashara in a 'clever manner' unaweza kufanikiwa kama 'George Soros'. (He made a BN $ eventually).

3.) Forex bussiness wanayoendesha hapo JANGID ina vibali vyote serikalini, hivyo ni halali na ina-baraka zote toka serikalini (hata hao wahindi wamesha-sort out vibali vyao)
[Malizia kipengele namba 4,5,6,7 na 8 za hili tangazo. Ukishidwa nitakusaidia
4.) .........

===================================

Una akili sana wewe mutu.
 
Back
Top Bottom