Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #281
KudosKudos chief[emoji106][emoji4][emoji123]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KudosKudos chief[emoji106][emoji4][emoji123]
Bila shaka chiefMkuu ukishusha kitu kingine unitag na mie
Nami nitag chief kurudi kwako JF kutaniongezea kitu kwenye Forex nimeunguza account zaidi ya mara4Nitafanya hivyo chief...
Mkuu na wewe pia na akili zako unashindana na huyu punguani, huwajui hatter, kila kitu wao wanajua, hatujua kama wewe uliitaja forex kabla ya Ontario, Ontario mwenyewe makala ya kwanza alikupa credit yeye hajui achana naeNasubiri unichane...
acha ufa.lNapata wasiwasi kama kweli utaweza kutopendelea mawazo yako juu ya FOREX ukizingatia mke wako kaajiliwa na ONTARIO pale jangid plaza kama secretary... Anyway nasubiri episode 2
Umekariri ID, hii ni jf we have got fake ID bro, chek vizur utaona mhogoCheck ulivoandika Broken ya kufa mtu.
Sijui unaandika huku unapenga kamasi mama.
Napata wasiwasi kama kweli utaweza kutopendelea mawazo yako juu ya FOREX ukizingatia mke wako kaajiliwa na ONTARIO pale jangid plaza kama secretary... Anyway nasubiri episode 2
Nafikir umefikiria tofaut mbona forex ni kweli in exists na wana wana trade wanaoweza wanawin wasio weza wanaloose so sijui umeelewajeahahah the bord umeamua ulipue
Cc Ontario jamaa kakusanya pesa za mazuzu halafu kawaacha hata Jf kawakimbia.poleni sana hakuna Mt anaependa ufanikiwe kama yeye ukiona mtu anakupa mbinu zakufanikiwa kama yeye mtizame mara 2, labda awe baba yako aua Mama ako no way as long Jamaa Ontario alikua na malengo yakukusanya mpunga.
Ndio yale ya Mganga akupe utajiri wakati yeye masikin.
Umeshidwa kunielewa na huto nielewa,Nafikir umefikiria tofaut mbona forex ni kweli in exists na wana wana trade wanaoweza wanawin wasio weza wanaloose so sijui umeelewaje
Jibu hoja acha matusi... Sikufahamu unifahamuacha ufa.l
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
=====================================
Hili tangazo la biashara linasema kwamba;
1.) Office za Forex Tanzania zinazoendeshwa na 'Ontario' zipo JANGID TOWER.
2.) Kwa kufanya hii biashara in a 'clever manner' unaweza kufanikiwa kama 'George Soros'. (He made a BN $ eventually).
3.) Forex bussiness wanayoendesha hapo JANGID ina vibali vyote serikalini, hivyo ni halali na ina-baraka zote toka serikalini (hata hao wahindi wamesha-sort out vibali vyao)
[Malizia kipengele namba 4,5,6,7 na 8 za hili tangazo. Ukishidwa nitakusaidia
4.) .........
===================================
Hahahhaa pogba nimecheka sanaaahahah the bord umeamua ulipue

salute
Napata wasiwasi kama kweli utaweza kutopendelea mawazo yako juu ya FOREX ukizingatia mke wako kaajiliwa na ONTARIO pale jangid plaza kama secretary... Anyway nasubiri episode 2