Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti "nikaenda huku nimevaa tishet ya Jeshi, nikafika askari akaniazima sweta lake nikavaa nikaingia kituoni"
Nashangaa sana watu wanavolilia uwatag, nashangaa sana.
Mmh!! Ina maana Ontario alikuwa anaongea na ofisa wa TISS(Habib/Bold) bila kujijua?Hahah! Nah... haya ninayoandika na yale nitakayoandika ni maoni yangu 100% na nataka niandike maoni yangu binafsi kwa 100% ili kulinda credibility yangu.
Kama nilivyoeleza haya matukio ni halisi kabisa... nadhani baadhi ya wanafunzi wa kwanza kabisa kusoma pale kwa Onatario wanaweza kutoa ushuhuda namna ambavyo walivamiwa na mitutu ya bunduki na ofisi nzima kuwekwa chini ya ulinzi.
Labda tu kitu ambacho wengi watakuwa hawajui ni role ambayo nilihusika behind the scenes.
Hata nilivyofika pale Oysterbay Police kulikuwa na wasaidizi wa ofisi wa Ontario kama wanne hivi lakini sidhani hata kama walinitambua mimi ni nani.
Nimeanza na kisa hiki na baadae kuoanisha na tukio la George Soros kwa sababu huko mbeleni kuna kitu nitakuja kukiongelea kuhusu hii biashara hapa Tanzania na kitu ambacho hata wanaoifanya naamini hawakijui.
Sitaki kwenda direct, nimeanzia huko mbali ili kujenga msingi mzuri tuelewane na nisionekane kwamba namuaharibia Ontario. Nitaandika ule ukweli ambao nimeujua binafsi baada ya upekenyuzi wangu.
Stay tuned chief...
Mkuu msome alivyosema ali play role behind the scene kwenye tukio lote la kwenda na mtutu na kuwachukua wasaidizi wa Ontoria hadi Osterbay polisi.Yani umeficha fulana ya jeshi kwa sweta la Polisi? Tena umeazimwa na askari wa lindo, halafu wakakuacha?
Anyways... I like your stories.
Labda tu kitu ambacho wengi watakuwa hawajui ni role ambayo nilihusika behind the scenes.<br /><br />Hata nilivyofika pale Oysterbay Police kulikuwa na wasaidizi wa ofisi wa Ontario kama wanne hivi lakini sidhani hata kama walinitambua mimi ni nani.[emoji121] [emoji121] [emoji121]Acha kuzingua... tiss inahusikaje hapa??
[emoji1] [emoji1] alishasema ali play role behind the scene mkuuThe Bold hahaha,kwakua hilo jengo lillipo na kituo cha polisi kilipo na ulivyoweza kufika hapo,Kusubiri simu nachelea kusema kuwa utakua unaishi maeneo ya protea au st Peter ,yaani we ni jirani maeneo hayo
Sawa mkuu..Hahahaha i can see what you mean boss...
Inashangaza mtu anasoma thread yote na anaingia JF kila sekeunde ili kusoma comment za uzi huo tu alafu anajifanya kuhate.
Huyu mimi nasemaga ni mtu anayekukubali kiasi kwamba mpaka anachukia kuwa anakukubali. Ndio maana anajaribu kuproject hate ili kuficha namna anavyokukubali.
So its all good! Msimkimbize kwenye ukoo [emoji1]
Sorry...umenielewa sivyo.Mnatutesa tunaotumia Nokia tochi jamani
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]The bold ni mmoja kati ya wazee wa idara TISS ila namshauri asijiunge UVCCM
Karibu sana chief...Subscribed .....hizi nondo skuwahi kuzipata Mahalia pengine Kabla
Get in touch with Mr. OntarioNashukuru, nangoja muendelezo jmatatu. Mm nahitaji kufanya forex, nifanyeje bro?
........
Nimeanza na kisa hiki na baadae kuoanisha na tukio la George Soros kwa sababu huko mbeleni kuna kitu nitakuja kukiongelea kuhusu hii biashara hapa Tanzania na kitu ambacho hata wanaoifanya naamini hawakijui.
Sitaki kwenda direct, nimeanzia huko mbali ili kujenga msingi mzuri tuelewane na nisionekane kwamba namuaharibia Ontario. Nitaandika ule ukweli ambao nimeujua binafsi baada ya upekenyuzi wangu.
mbaya zaidi kuna wanaume kabisa wanalilia tagEti "nikaenda huku nimevaa tishet ya Jeshi, nikafika askari akaniazima sweta lake nikavaa nikaingia kituoni"
Nashangaa sana watu wanavolilia uwatag, nashangaa sana.