Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Hahah! Nah... haya ninayoandika na yale nitakayoandika ni maoni yangu 100% na nataka niandike maoni yangu binafsi kwa 100% ili kulinda credibility yangu.

Kama nilivyoeleza haya matukio ni halisi kabisa... nadhani baadhi ya wanafunzi wa kwanza kabisa kusoma pale kwa Onatario wanaweza kutoa ushuhuda namna ambavyo walivamiwa na mitutu ya bunduki na ofisi nzima kuwekwa chini ya ulinzi.

Labda tu kitu ambacho wengi watakuwa hawajui ni role ambayo nilihusika behind the scenes.

Hata nilivyofika pale Oysterbay Police kulikuwa na wasaidizi wa ofisi wa Ontario kama wanne hivi lakini sidhani hata kama walinitambua mimi ni nani.

Nimeanza na kisa hiki na baadae kuoanisha na tukio la George Soros kwa sababu huko mbeleni kuna kitu nitakuja kukiongelea kuhusu hii biashara hapa Tanzania na kitu ambacho hata wanaoifanya naamini hawakijui.
Sitaki kwenda direct, nimeanzia huko mbali ili kujenga msingi mzuri tuelewane na nisionekane kwamba namuaharibia Ontario. Nitaandika ule ukweli ambao nimeujua binafsi baada ya upekenyuzi wangu.

Stay tuned chief...
Mmh!! Ina maana Ontario alikuwa anaongea na ofisa wa TISS(Habib/Bold) bila kujijua?

Maana Bold ali role behind the scene kwenye tukio lote la kwenda na mtutu wa bunduki pale TMT.

Nawaza na kuwazua sipati jibu kabisa.
 
Yani umeficha fulana ya jeshi kwa sweta la Polisi? Tena umeazimwa na askari wa lindo, halafu wakakuacha?

Anyways... I like your stories.
Mkuu msome alivyosema ali play role behind the scene kwenye tukio lote la kwenda na mtutu na kuwachukua wasaidizi wa Ontoria hadi Osterbay polisi.
 
Acha kuzingua... tiss inahusikaje hapa??
Labda tu kitu ambacho wengi watakuwa hawajui ni role ambayo nilihusika behind the scenes.<br /><br />Hata nilivyofika pale Oysterbay Police kulikuwa na wasaidizi wa ofisi wa Ontario kama wanne hivi lakini sidhani hata kama walinitambua mimi ni nani.[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Hahahaha i can see what you mean boss...
Inashangaza mtu anasoma thread yote na anaingia JF kila sekeunde ili kusoma comment za uzi huo tu alafu anajifanya kuhate.

Huyu mimi nasemaga ni mtu anayekukubali kiasi kwamba mpaka anachukia kuwa anakukubali. Ndio maana anajaribu kuproject hate ili kuficha namna anavyokukubali.

So its all good! Msimkimbize kwenye ukoo [emoji1]
Sawa mkuu..
 
........

Nimeanza na kisa hiki na baadae kuoanisha na tukio la George Soros kwa sababu huko mbeleni kuna kitu nitakuja kukiongelea kuhusu hii biashara hapa Tanzania na kitu ambacho hata wanaoifanya naamini hawakijui.
Sitaki kwenda direct, nimeanzia huko mbali ili kujenga msingi mzuri tuelewane na nisionekane kwamba namuaharibia Ontario. Nitaandika ule ukweli ambao nimeujua binafsi baada ya upekenyuzi wangu.

Mkuu The bold ulivyoanza hii habari na ukaweka mkazo kuhusu huyu George Soros nikakuelewa kuwa kuna kitu kizito unataka kuzngumzia hapo mbeleni..
 
Back
Top Bottom