Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile fulana na Navy nilienda nayo kwa bahati mbaya. Nilipofika pale ndio nikagundua kwamba nilivyo vaa its inappropriate kwa mahala nilipo.Brother salute kwako.
Kuna kijiswali kidogo hapa .ulienda kituoni na furana ya navy ulipofika kituoni ukavaa sweta la polisi jambo ambalo raia wa kawaida hawezi thubutu,
Kwanini hukufikiria kunyag'anywa na kuachwa kifua wazi pamoja na kupigishwa kwata bila kupenda
Hahahaha Ontario bwana mdogo sana. Mara ya kwanza nimeonana naye sikuamini macho yangu.Kajamaa ni kadogo ila kajanja
Kwahiyo unahisi kila mtu anaweza kuvuliwa shati na kupihishwa kwata??Ndio uongo wenyewe tunaosema hapa.
Bahati mbaya mashabiki wake wengi ni mazuzu, ukisema tu ukweli makamasi yanavowatoka.
Pamoja sana chief...Short, sweet and powerful.
Hua nakubali sana nguvu ya kalamu yako chief. Lkn niwe tu muwazi, hii kitu umekosea sana kutupa vipande kama movie za Kinaijeria. I am really waiting for part 2, 3, 4 and 5. Thanks again for sharing ur talent with us. Stay blessed!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]The bold ni mmoja kati ya wazee wa idara TISS ila namshauri asijiunge UVCCM
Padri mbona una roho mbaya hivyoo?Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Hahaha!! We are back...Oooh! We are back ! Everyone is back.
Hahaa..Hahaha!! We are back...
Habari yako shemeji
Well said chief...The bold,
Shukrani kwa makala zako za simulizi za kipekee ktk lugha ya Kiswahili zinazoelezea matukio muhimu ulimwenguni kama hili la "Black Wednesday".
Maana Jamiiforums inabidi liwe jukwaa linalotoa mwanga kuelewa matukio makubwa kama haya na kuelimisha pia kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
wasifu wako ni upi..?Pamoja sana chief...
Nitajitahidi kudondosha 'episodes' mfululizo ili uhondo usikatike.
Salute!
mkuu heshima kwako platinum memberExactly my sentiments.
Wamwache tu aandike.
Sioni tatizo kabisa.
Hahah! Nah... haya ninayoandika na yale nitakayoandika ni maoni yangu 100% na nataka niandike maoni yangu binafsi kwa 100% ili kulinda credibility yangu.Is this a well choreographed 'movie' ?
Cc The bold
Yes chief... lilikuwa tukio la kusikitisha sanaKwanza niwape pole akina Ontario na wenzake ,kumbe ilikua kweli?
Sawa chiefThe Bold asante kwa story yako. Please next time usisahau kunitag....
Poa kabisa chief... naona umepoteza simu yalo ya whatsapp hahahahHahaa..
Nipo mkuu! Habari ya miaka?
Una quote habari yote hii alafu unaandika maneno mawiliTag me . Professor