Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Ni kweli, ila tunapowafungua macho wasomaji wengine 'vipofu' tunaitwa haters.., kwanini? Kwani kuna ubaya kuweka vitu as they are? Hawa ni madalali wa Forex pale Jangid watafuta watu wa kuwaingiza kwenye biashara ambayo kwangu haina tofauti na foreverliving au Kamari za mpira, na siku zote huwa nazipinga for very obvious reasons.
 
Kwani hayo uliyoyasema kuna mtu amebisha? Wala hatubishi! Tunachosema ni kwamba, hili tangazo linalengocla kuwa-entrap wasomaji kwenye 'biashara' ambayo kimsingi inapromise mapato ya pesa (yawe makubwa au madogo - its relative) bila kufanya shughuli yeyote ya uzalishaji mali/ huduma; yaani mna entice watu wacheze kamari badala ya kufanya kazi! Yaani hii nchi mnataka ijengwe kwa kucheza kamari badala ya kufanya kazi?!
 
Hizi ni sawa na zile tetezi za wanufaika wa foreverliving; Forever Living!
Hili tangazo linalengo la kuwavutia watu kwenye mchezo haramu wa kamari ili washinde 1BN$ kama George Soros. Na linasema kwamba dalali mzuri na wa kuaminika yupo pale JANGID na wanavibali vyote vya serikali..
 
Mm namwamini sana

Unapaka kipi kibaya wait wasijue
 
Unanikumbusha wale watetezi wa utapeli wa foreverliving! Forever Living! ; kama nyinyi mnatajirika si mnyamaze mtajirike kimya kimya, msitake kutangaza mafanikio ya akina George Soros ili kuwavutia wateja kwa hao madalali wa gorex pale JANGID, kamari ni haramu
 
Daah..., yaan huu ndio kama ule utetezi uliokuwa unatolewa na makada wa foreverliving; mara ooh.., sijui hawana uvumilivu, mara ooh wanataka mafanikio haraka.. Forever Living!
 
Daah..., yaan huu ndio kama ule utetezi uliokuwa unatolewa na makada wa foreverliving; mara ooh.., sijui hawana uvumilivu, mara ooh wanataka mafanikio haraka.. Forever Living!
Unaamini kama mtu yoyote anaweza akawa profitable trader akifanya juhudi ya kuifahamu hii biashara kwa kusoma na kufanya mazoezi sana?

Binafsi naelewa kwamba kuna propaganda nyingi sana market makers wanazitumia kuwafanya traders wengi wasiwe consistently prifitable traders japo inawezekana usiathirike na propaganda ukiwa vizuri" from the neck up"

Nafahamu pia kuna mengine ya behind the scene ambayo wanaohusika ktk uendeshaji wa Fx wanatumia kutengeneza hela na wengine wanapoteza Ila wanapoteza kwa kutokuwa na uelewa na kupenda mteremko.

Mwisho fx ni simple but not easy,hii ni game ya watu smart na wenye bidii ya kujielimisha bila kuchoka.
 
Forever living ni kampuni ya kimarekani inayofanya biashara kwa njia network marketing business. Inayojihusisha na uuzaji na usambazaji wa bidhaa za forever living.

Duh!

Hiyo kampuni ya Marekani inafanya shughuli na huko Marekani au inafanyia shughuli zake nje ya Marekani hususan huku kwenye nchi za dunia ya tatu?

Huko Marekani sijawahi kuiona wala kuisikia [simaanishi nazijua kampuni zote za Marekani].
 
wazungu wana akili sana
hawa jamaa ni wa pekee humu duniani...huwa najiuliza tu bila wao dunia ingekuwa wapi leo hi
 
Mi pia nimewaza sana kwa raia ni ngum sana, pengine huyu jamaa ni mtu wa kitengo.
 
Kwa hiyo!!
Kwa taarifa yako tangu unajiunga humu mimi nipo.
Huwa unajifanya mjuaji lkn nakuhakikishia huna lolote, ukinywa gongo zako unaletaga ujingaujinga tu humu kwa kimombo chako cha kijinga
Jadili hoja, acha kulialia na kutafuta huruma, pambana kwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…