Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Umewasahau na wale matapeli wa D9

watu wamelizwa mbaya kabisa ..
 

Mkuu wangu hakuna haja ya kuandikiana maneno ya khanga hapa....we ni dm namba yako nitakutafuta nikuonyeshe trades history yangu na kutaingia wote kwenye account yangu na utaona mwenyewe pesa ambayo nilishawithdraw Kutoka kwa broker...
 
The Bold, sihutii kuwepo JF kea sababu ya uwepo wako..

Napata madini mengi na chakula cha ubongo kupitia maandishi yako.

Hapa Bongo waandishi wangu bora ni Wewe The Bold na Mkuu mmoja anaitwa Luqman Maloto. Nyie vichwa hatari sana
 
Namuona mwandishi wa vitabu vya KIKOSI CHA KISASI,.....anazaliwa upya.Nashauria anza kutoa vitabu Chief.
nadhan ipo siku atatu surprise na kitabu. nitakua mmojawapo wa wanunuzi wa kitabu hicho na kama hana wazo la kitunga kitabu na uwezo wake wote huu basi atakuwa anajipa hasara mwenyewe
 
Mkuu wangu hakuna haja ya kuandikiana maneno ya khanga hapa....we ni dm namba yako nitakutafuta nikuonyeshe trades history yangu na kutaingia wote kwenye account yangu na utaona mwenyewe pesa ambayo nilishawithdraw Kutoka kwa broker...
Naona akaunti yako ni special kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu.

Naamini hakuna pesa bila uzalishaji mali/ huduma; kinyume cha hapo ni utapeli.
 
Huwa napenda kujibishana kwa hoja. Umeitaja Forever living kwenye mada inayohusu Forex. Thibitisha uhusiano wake!
 
Naona akaunti yakocni special kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu.
View attachment 652930
Naamini hakuna pesa bila uzalishaji mali/ huduma; kinyume cha hapo ni utapeli.


Sasa Mkuu kama we unaamini hvyo unataka kila mtu aamini kama unavyoamini wewe...kwa nn unataka kila mtu awe kama wewe huoni kuwa unaingilia Uhuru wa wengine kujihamuliaambo yao wenyewe.


DM namba Mkuu uje ukaone ushuhuda vinginevyo achana na maneno ya khanga hayasaidiii...njoo ukajionee mwenyewe.
 
Huwa napenda kujibishana kwa hoja. Umeitaja Forever living kwenye mada inayohusu Forex. Thibitisha uhusiano wake!
1.) Zote zina promise 'wahanga' watarajiwa kwamaba watapata pesa bila kuzalisha mali/ huduma yeyote ile (pesa za bure bila kuvuja jasho)

2.) Ili mmoja apate ni lazima mwingine apoteze.Typical ya pyramid schemes ambapo walio chini hutoa ili wale walio juu wapate. Kwa Forex ni kamari, wewe ukishinda jua kuna mwenzako kapoteza.
 
Siamini hivyo tu bali nafahamu hivyo; Ufahamu wangu huu ndio inanilinda dhidi ya utapeli siku zote; sasa unanishawishi niwaache 'vipofu' wasiofahamu washawishike na kwenda kufanyiwa training ya hii Kamari ambapo more than 80% huwa ni loosers?
 
Imani yangu hiyo ndio inanilinda dhidi ya utapeli siku zote; sasa unanishawishi niwaache 'vipofu' washawishike na kwenda kufanyiwa training ya hii Kamari ambapo more than 80% huwa ni loosers?


Mkuu wangu nakubaliana na wewe Kabisa kuwa 80% ni losers na sio 80% ni 90%....ndo maana nikasema usipozingatia RM na usipokuwa na knowledge sahihi na mentor anayejua anachokifanya kwenye Forex hakika utakuwa kwenye hyo 90%...huwezi kwa na account ya $1000 ukatumia lots size za account ya $20,000 halafu ukapona...hamna kitu kama hcho.

Mm nimeunguza account Mara tatu na ukiniuliza sababu za kuunguza hzo account nitakueleza kinagaubaga....tatizo sio broker....tatizo sio soko tatizo ni mm mwenyewe...
 
Forex haijawahi kumpromise mtu kwamba ukiingia utapata hela. Uzuri wa Forex kuna kila aina za article mitandaoni kuhusu faida na hasara zake. Sasa utakuwa investor wa ajabu eti unaingia kwenye Forex kisa umemsikia mtu kama Ontario akiahidi watu kwamba watatajirika kupitia Forex. Kuna kila aina za resources mtandaoni za kung'amua ukweli kwenye hii biashara. Ila kama unaingia kwa shinikizo utaliwa tu kama wengine walivyoliwa kwenye ufugaji wa Sungura na kilimo kwa ujumla. FOREX na KUJISOMEA ni ndugu.

2. Kama ilivyo kwenye biashara nyingine ili wewe upate pesa ni lazima mwingine atoe pesa yake mfukoni akupe wewe. Ukitaka faida ni lazima ujue kuilinda pesa yako kwenye FOREX na hii inajulikana kabisa ili mwenzako apate pesa ni lazima wewe upoteze na bado ukaingia kwenye hii biashara sidhani kama kuna tatizo hapo. Au mwenzangu unaonaje?!
 
Forex haijawahi kumpromise mtu kwamba ukiingia utapata hela. Uzuri wa Forex kuna kila aina za article mitandaoni kuhusu faida na hasara zake. Sasa utakuwa investor wa ajabu eti unaingia kwenye Forex kisa umemsikia mtu kama Ontario akiahidi watu kwamba watatajirika kupitia Forex. Kuna kila aina za resources mtandaoni za kung'amua ukweli kwenye hii biashara. Ila kama unaingia kwa shinikizo utaliwa tu kama wengine walivyoliwa kwenye ufugaji wa Sungura na kilimo kwa ujumla. FOREX na KUJISOMEA ni ndugu.

2. Kama ilivyo kwenye biashara nyingine ili wewe upate pesa ni lazima mwingine atoe pesa yake mfukoni akupe wewe. Ukitaka faida ni lazima ujue kuilinda pesa yako kwenye FOREX na hii inajulikana kabisa ili mwenzako apate pesa ni lazima wewe upoteze na bado ukaingia kwenye hii biashara sidhani kama kuna tatizo hapo. Au mwenzangu unaonaje?
 
Sasa kwanini usiendelee kupiga pesa kimya kimya ili kama kula/ kuliwa uliwe peke yako, ya nini kuwatia watu majaribuni mwishowe waingie kwenye kamari ambayo kimsingi ni kujaribu kupata pesa za bure bila kuzitolea jasho; unajua hata ushoga unaanzaga hivyo hivyo kutaka vya bure. Hizo nguvu,pesa na muda unazotaka watu watumie kusoma vitabu na kujifunza na kucheza kamari ni kwanini wasizitumie kujifunza shughuli za uzalishaji mali kama kilimo cha greenhouse, kuweni na uzalendo, kamari zinaangamiza vijana wengi hasa sports betting.
 
What a bogus reply (samahani nimejisikia compelled 'kukutukana' ili ushtuke kidogo.

1.) Huko Forex watu hawaendi kutafuta hela you say, so wanaendaa kutafuta nini, maembe?

2.) Unasema kila biashara ni lazima mmoja apate na mwingine apoteze, are you serious? Nikitoa shs. 10,000/= dukani na nikapata unga wenye thamani ya shs.10,000/=, ambao nikitaka kuuza tena narudisha shs.10,000/= yangu, ni sawa na nikaweka shs.10,000/= kwenye kamari ya Forex, halafu nikaliwa na sibaki na chochote? We unaona hiyo ni sawa?
Tofautisha 'Betting' na biashara halali zinazohusisha exchange of goods and/or services, be it via monetary medium or via barter means.
 



Mkuu wangu sijui kwa nn unatumia maneno makali hv...nimetoa ushuhuda na maangalizo nimetoa....ningekuwa nataka kulure watu waingie kichwakichwa kwenye forex wala nisingetoa maangalizo ningetoa tu ushuhuda kwa ajili ya kuwatamanisha watu...na hata mentor wangu huwa kila siku ananihasa kuwa Makini kwenye RM ila nakuwa kichwa ngumu. Ndo maana nikasema wa kumlaumu mm account kuungua ni mm mwenyewe wala si mtu mwingine....ningekuwa na discipline inayotakiwa kwenye Forex hakika nisingeunguza account....ni kama wewe kwenye hzo green house zako hv ukiweka dawa ya kunyunyuzia kwenye hayo mazao yako kinyume na maelekezo ya Mtaalamu wa Kilimo au kinyume na maelekezo ya matumizi utailaumu dawa mazao yako yakiaharibika au utamlaumu Mtaalamu wa kilimo...aliyekupa Ushauri ukakataa kuuzingatia???
 
Yaani ni full ujinga tu mkuu, yaani watu hawasomi wanakimbilia kutrade wakichezea za uso wanakuja kulia lia.
 
Hongera sana, angalau umetoa ushuhuda wa kueleweka ili wale watu wenye kuelewa na waelewe, Sio kila Biashara ni kwa ajili ya kila mtu, kwa jinsi ulivyo na courage endelea hivyo hivyo usiwe na tamaa, utafanikiwa.
 
Yaani mkuu wanafikiri eti ni kitu rahisi wakati unatakiwa ukune bichwa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…