Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Unanikumbusha wale watetezi wa utapeli wa foreverliving! Forever Living! ; kama nyinyi mnatajirika si mnyamaze mtajirike kimya kimya, msitake kutangaza mafanikio ya akina George Soros ili kuwavutia wateja kwa hao madalali wa gorex pale JANGID, kamari ni haramu
Umewasahau na wale matapeli wa D9

watu wamelizwa mbaya kabisa ..
 
Duuh..., huu ushuhuda umelipwa shs.ngapi kuja kuuweka hapa? Eti "nikahudhuria training ya forex", ulihudhuria kwa Ontario pale JANGID? Hahahahah; Hizi shuhuda tulizoea kuziona kwa wale matapeli wa foreverliving, hakuna jipya.Ila si kitu kizuri ku-lure watz wenzako into a trpa, iys not fair, anaweza akaja kuingia ndugu yako akaliwa,na ukapata mzigo wa kumlea, be careful. Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Mkuu wangu hakuna haja ya kuandikiana maneno ya khanga hapa....we ni dm namba yako nitakutafuta nikuonyeshe trades history yangu na kutaingia wote kwenye account yangu na utaona mwenyewe pesa ambayo nilishawithdraw Kutoka kwa broker...
 
The Bold, sihutii kuwepo JF kea sababu ya uwepo wako..

Napata madini mengi na chakula cha ubongo kupitia maandishi yako.

Hapa Bongo waandishi wangu bora ni Wewe The Bold na Mkuu mmoja anaitwa Luqman Maloto. Nyie vichwa hatari sana
 
Namuona mwandishi wa vitabu vya KIKOSI CHA KISASI,.....anazaliwa upya.Nashauria anza kutoa vitabu Chief.
nadhan ipo siku atatu surprise na kitabu. nitakua mmojawapo wa wanunuzi wa kitabu hicho na kama hana wazo la kitunga kitabu na uwezo wake wote huu basi atakuwa anajipa hasara mwenyewe
 
Mkuu wangu hakuna haja ya kuandikiana maneno ya khanga hapa....we ni dm namba yako nitakutafuta nikuonyeshe trades history yangu na kutaingia wote kwenye account yangu na utaona mwenyewe pesa ambayo nilishawithdraw Kutoka kwa broker...
Naona akaunti yako ni special kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu.
Screenshot_2017-12-17-13-13-08.png
Naamini hakuna pesa bila uzalishaji mali/ huduma; kinyume cha hapo ni utapeli.
 
Hizi ni sawa na zile tetezi za wanufaika wa foreverliving; Forever Living!
Hili tangazo linalengo la kuwavutia watu kwenye mchezo haramu wa kamari ili washinde 1BN$ kama George Soros. Na linasema kwamba dalali mzuri na wa kuaminika yupo pale JANGID na wanavibali vyote vya serikali..
Huwa napenda kujibishana kwa hoja. Umeitaja Forever living kwenye mada inayohusu Forex. Thibitisha uhusiano wake!
 
Naona akaunti yakocni special kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu.
View attachment 652930
Naamini hakuna pesa bila uzalishaji mali/ huduma; kinyume cha hapo ni utapeli.

Sasa Mkuu kama we unaamini hvyo unataka kila mtu aamini kama unavyoamini wewe...kwa nn unataka kila mtu awe kama wewe huoni kuwa unaingilia Uhuru wa wengine kujihamuliaambo yao wenyewe.

DM namba Mkuu uje ukaone ushuhuda vinginevyo achana na maneno ya khanga hayasaidiii...njoo ukajionee mwenyewe.
 
Huwa napenda kujibishana kwa hoja. Umeitaja Forever living kwenye mada inayohusu Forex. Thibitisha uhusiano wake!
1.) Zote zina promise 'wahanga' watarajiwa kwamaba watapata pesa bila kuzalisha mali/ huduma yeyote ile (pesa za bure bila kuvuja jasho)

2.) Ili mmoja apate ni lazima mwingine apoteze.Typical ya pyramid schemes ambapo walio chini hutoa ili wale walio juu wapate. Kwa Forex ni kamari, wewe ukishinda jua kuna mwenzako kapoteza.
 
Sasa Mkuu kama we unaamini hvyo unataka kila mtu aamini kama unavyoamini wewe...kwa nn unataka kila mtu awe kama wewe huoni kuwa unaingilia Uhuru wa wengine kujihamuliaambo yao wenyewe.

DM namba Mkuu uje ukaone ushuhuda vinginevyo achana na maneno ya khanga hayasaidiii...njoo ukajionee mwenyewe.
Siamini hivyo tu bali nafahamu hivyo; Ufahamu wangu huu ndio inanilinda dhidi ya utapeli siku zote; sasa unanishawishi niwaache 'vipofu' wasiofahamu washawishike na kwenda kufanyiwa training ya hii Kamari ambapo more than 80% huwa ni loosers?
 
Imani yangu hiyo ndio inanilinda dhidi ya utapeli siku zote; sasa unanishawishi niwaache 'vipofu' washawishike na kwenda kufanyiwa training ya hii Kamari ambapo more than 80% huwa ni loosers?

Mkuu wangu nakubaliana na wewe Kabisa kuwa 80% ni losers na sio 80% ni 90%....ndo maana nikasema usipozingatia RM na usipokuwa na knowledge sahihi na mentor anayejua anachokifanya kwenye Forex hakika utakuwa kwenye hyo 90%...huwezi kwa na account ya $1000 ukatumia lots size za account ya $20,000 halafu ukapona...hamna kitu kama hcho.

Mm nimeunguza account Mara tatu na ukiniuliza sababu za kuunguza hzo account nitakueleza kinagaubaga....tatizo sio broker....tatizo sio soko tatizo ni mm mwenyewe...
 
1.) Zote zina promise 'wahanga' watarajiwa kwamaba watapata pesa bila kuzalisha mali/ huduma yeyote ile (pesa za bure bila kuvuja jasho)

2.) Ili mmoja apate ni lazima mwingine apoteze.Typical ya pyramid schemes ambapo walio chini hutoa ili wale walio juu wapate. Kwa Forex ni kamari, wewe ukishinda jua kuna mwenzako kapoteza.
Forex haijawahi kumpromise mtu kwamba ukiingia utapata hela. Uzuri wa Forex kuna kila aina za article mitandaoni kuhusu faida na hasara zake. Sasa utakuwa investor wa ajabu eti unaingia kwenye Forex kisa umemsikia mtu kama Ontario akiahidi watu kwamba watatajirika kupitia Forex. Kuna kila aina za resources mtandaoni za kung'amua ukweli kwenye hii biashara. Ila kama unaingia kwa shinikizo utaliwa tu kama wengine walivyoliwa kwenye ufugaji wa Sungura na kilimo kwa ujumla. FOREX na KUJISOMEA ni ndugu.

2. Kama ilivyo kwenye biashara nyingine ili wewe upate pesa ni lazima mwingine atoe pesa yake mfukoni akupe wewe. Ukitaka faida ni lazima ujue kuilinda pesa yako kwenye FOREX na hii inajulikana kabisa ili mwenzako apate pesa ni lazima wewe upoteze na bado ukaingia kwenye hii biashara sidhani kama kuna tatizo hapo. Au mwenzangu unaonaje?!
 
2. Kama ilivyo kwenye biashara nyingine ili wewe upate pesa ni lazima mwingine atoe pesa yake mfukoni akupe wewe. Ukitaka faida ni lazima ujue kuilinda pesa yako kwenye FOREX na hii inajulikana kabisa ili mwenzako apate pesa ni lazima wewe upoteze na bado ukaingia kwenye hii biashara sidhani kama kuna tatizo hapo. Au mwenzangu unaonaje?
 
Mkuu wangu nakubaliana na wewe Kabisa kuwa 80% ni losers na sio 80% ni 90%....ndo maana nikasema usipozingatia RM na usipokuwa na knowledge sahihi na mentor anayejua anachokifanya kwenye Forex hakika utakuwa kwenye hyo 90%...huwezi kwa na account ya $1000 ukatumia lots size za account ya $20,000 halafu ukapona...hamna kitu kama hcho.

Mm nimeunguza account Mara tatu na ukiniuliza sababu za kuunguza hzo account nitakueleza kinagaubaga....tatizo sio broker....tatizo sio soko tatizo ni mm mwenyewe...
Sasa kwanini usiendelee kupiga pesa kimya kimya ili kama kula/ kuliwa uliwe peke yako, ya nini kuwatia watu majaribuni mwishowe waingie kwenye kamari ambayo kimsingi ni kujaribu kupata pesa za bure bila kuzitolea jasho; unajua hata ushoga unaanzaga hivyo hivyo kutaka vya bure. Hizo nguvu,pesa na muda unazotaka watu watumie kusoma vitabu na kujifunza na kucheza kamari ni kwanini wasizitumie kujifunza shughuli za uzalishaji mali kama kilimo cha greenhouse, kuweni na uzalendo, kamari zinaangamiza vijana wengi hasa sports betting.
 
Forex haijawahi kumpromise mtu kwamba ukiingia utapata hela. Uzuri wa Forex kuna kila aina za article mitandaoni kuhusu faida na hasara zake. Sasa utakuwa investor wa ajabu eti unaingia kwenye Forex kisa umemsikia mtu kama Ontario akiahidi watu kwamba watatajirika kupitia Forex. Kuna kila aina za resources mtandaoni za kung'amua ukweli kwenye hii biashara. Ila kama unaingia kwa shinikizo utaliwa tu kama wengine walivyoliwa kwenye ufugaji wa Sungura na kilimo kwa ujumla. FOREX na KUJISOMEA ni ndugu.

2. Kama ilivyo kwenye biashara nyingine ili wewe upate pesa ni lazima mwingine atoe pesa yake mfukoni akupe wewe. Ukitaka faida ni lazima ujue kuilinda pesa yako kwenye FOREX na hii inajulikana kabisa ili mwenzako apate pesa ni lazima wewe upoteze na bado ukaingia kwenye hii biashara sidhani kama kuna tatizo hapo. Au mwenzangu unaonaje?!
What a bogus reply (samahani nimejisikia compelled 'kukutukana' ili ushtuke kidogo.

1.) Huko Forex watu hawaendi kutafuta hela you say, so wanaendaa kutafuta nini, maembe?

2.) Unasema kila biashara ni lazima mmoja apate na mwingine apoteze, are you serious? Nikitoa shs. 10,000/= dukani na nikapata unga wenye thamani ya shs.10,000/=, ambao nikitaka kuuza tena narudisha shs.10,000/= yangu, ni sawa na nikaweka shs.10,000/= kwenye kamari ya Forex, halafu nikaliwa na sibaki na chochote? We unaona hiyo ni sawa?
Tofautisha 'Betting' na biashara halali zinazohusisha exchange of goods and/or services, be it via monetary medium or via barter means.
 
Sasa kwanini usiendelee kupiga pesa kimya kimya ili kama kula/ kuliwa uliwe peke yako, ya nini kuwatia watu majaribuni mwishowe waingie kwenye kamari ambayo kimsingi ni kujaribu kupata pesa za bure bila kuzitolea jasho; unajua hata ushoga unaanzaga hivyo hivyo kutaka vya bure. Hizo nguvu,pesa na muda unazotaka watu watumie kusoma vitabu na kujifunza na kucheza kamari ni kwanini wasizitumie kujifunza shughuli za uzalishaji mali kama kilimo cha greenhouse, kuweni na uzalendo, kamari zinaangamiza vijana wengi hasa sports betting.

Mkuu wangu sijui kwa nn unatumia maneno makali hv...nimetoa ushuhuda na maangalizo nimetoa....ningekuwa nataka kulure watu waingie kichwakichwa kwenye forex wala nisingetoa maangalizo ningetoa tu ushuhuda kwa ajili ya kuwatamanisha watu...na hata mentor wangu huwa kila siku ananihasa kuwa Makini kwenye RM ila nakuwa kichwa ngumu. Ndo maana nikasema wa kumlaumu mm account kuungua ni mm mwenyewe wala si mtu mwingine....ningekuwa na discipline inayotakiwa kwenye Forex hakika nisingeunguza account....ni kama wewe kwenye hzo green house zako hv ukiweka dawa ya kunyunyuzia kwenye hayo mazao yako kinyume na maelekezo ya Mtaalamu wa Kilimo au kinyume na maelekezo ya matumizi utailaumu dawa mazao yako yakiaharibika au utamlaumu Mtaalamu wa kilimo...aliyekupa Ushauri ukakataa kuuzingatia???
 
Sasa nani kawashawishi kuingia wakat watu waliambiwa wasome vitabu tangu siku ya kwanza na vitabu viliwekwa tangu uzi wa kwanza wa ontario vitabu visivyopungua 5 na kwenye vitabu kila kitu kimeelezewa humo alafu anaenda kukopa bank na kuja kulalamika kwako, wakat hakuna mahali kwenye vitabu wanasema ukakope uje kufanya biashara.
Yaani ni full ujinga tu mkuu, yaani watu hawasomi wanakimbilia kutrade wakichezea za uso wanakuja kulia lia.
 
Nimeandika haya yote kwa nn...ninachotaka kasema ni kwamba Forex ni Biashara nzuri kama ukipata training Kutoka kwa mtu sahihi na wewe mwenyewe uwe mtu wa kujielimisha sana..nimeunguza account Mara tatu ila siwezi mlaumu yoyote kutokana na hzo account kuungua na kumlaumu ni mm mwenyewe maana kuna wakati nilikuwa nafanya vitu amabvyo havitakiwi Kufanya kwenye Forex trade.

Forex trading is all about kuwa na knowledge stahiki.....kuwa na mentor anajua anachokifanya na above all RM ni kitu muhimu sana kwenye Forex trade...usiwe na account sisimizi unaweka lot size tembo hakika utaunguza account hilo wala halina mjadala.

Ninachomshukuru Mungu ni kwamba Mara zote naunguza account sijawahi kuingia mfukoni kwenda kufund account yangu hela iliyoungua niliipata huko huko kwenye Forex na faida nilipata pia. Kwa sasa nimesimama kidogo kutrade mpaka mwezi wa kwanza mwakani ndo nitaanza tena kama mungu akinifikisha.

Narudia kama RM yako iko on point ni nadra sana kuunguza account ila ukiendekeza uroho kwenye Forex hakika Forex itakuchambua kama karanga.
Hongera sana, angalau umetoa ushuhuda wa kueleweka ili wale watu wenye kuelewa na waelewe, Sio kila Biashara ni kwa ajili ya kila mtu, kwa jinsi ulivyo na courage endelea hivyo hivyo usiwe na tamaa, utafanikiwa.
 
Hiyo biashara ya FX sio ya kitoto,

kwanza lazima uwe na akili kichwani mwako

ukiwa tutusa lazima ulie ....kimsingi ni asilimia

20 to ya trader wote wanaopata faida

ukitaka kufanikiwa lazima uwe na noleji ya kutosha

kwa jinsi ninavyowafahamu wtz ...ambao wengi ni wavivu

wa kujisomea na kusaka maarifa .....hii biashara haiwafai.
Yaani mkuu wanafikiri eti ni kitu rahisi wakati unatakiwa ukune bichwa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom