Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Usifananishe biashara halali za uzalishaji mali na kamari please, hivyo ni vitu viwili tofauti. Kamari ni kutaka kupata pesa bila kuvuja jasho. Sasa tusilumbane sana, FOREX ni kamari au sio kamari, tuanzie hapa.
 
Daaaa a mkuu Safi Sana, ukikaa ukitulia ukafanya hii kitu serious utakua mtu mwingine, kwa maelezo yako inaonekana ulikua unatrade bila Trading plan. Ila hapo uliposema huna wa kumlaumu zaidi ya wewe mwenyewe. Inaonekana ulikielewa vizuri kitabu cha Trading in the zones
 
Usifananishe biashara halali za uzalishaji mali na kamari please, hivyo ni vitu viwili tofauti. Kamari ni kutaka kupata pesa bila kuvuja jasho. Sasa tusilumbane sana, FOREX ni kamari au sio kamari, tuanzie hapa.


Sasa umeshatoka tena kwenye kuuponda ushuhuda wangu unataka tuanze kujadili kama Forex ni kamari au sio kamari??? Mm naomba tukutane kwanza nikuonyeshe trades history yangu tukidhamaliza hilo na wewe kuja kutoa ushuhuda hapa jamvini kuwa nilioutoa sio ushuhuda wa uongo au wa kulipwa kama ulivosema hapo ndo tutaanza kuelimishana kama Forex ni kamari au sio kamari
 
Yaani ni full ujinga tu mkuu, yaani watu hawasomi wanakimbilia kutrade wakichezea za uso wanakuja kulia lia.
What nonsense is this? Lets assume wote wamesoma vitabu vizuri na wote waliocheza hiyo kamari at that particular point in time wakashinda, hizo pesa za kuwalipa zingetoka wapi? Kwenye kamari ni lazima wengi wapoteze na wachache wapate, hata msome vitabu namna gani, there must be alot of loosers for there to be very few winners, its the rule of the game. Mchezo haramu huu..
 
Ushuhuda wako kuwa wa kweli au sio wa kweli haibadilishi hoja kwamba mnataka ku-lure watu kwenye Forex. Sasa kama hutujui kama unafahamu kwamba Forex ni kamari au laa mjadala utaendelea vipi? Eitherway, hiyo tactic ya kutoa ushuhuda kwa reverse physchology kila mtu anaifahamu na humpti mtu kirahisi hivyo; yaani hutoi mafanikio yako moja kwa moja bali unachomekea na vikwazo ambavyo supposedly umepata ili ku-disguise ushuhuda wako, hii technique imeshatumiwa sana na matapeli wa foreverliving.
 
Kwajinsi nilivyo kuelewa mkuu mpaka unastop kutrade ukuwa naloss
 
Forex na MLM zina kitu kimoja incommon. Zote zinapromise pesa bila kuzalisha mali/ huduma. (Pesa za bure, ni kamari na upatu katika muonekano mpya.
Kwangu ni tofauti na unavyoona, biashara ya pesa ipo toka enzi na enzi hata kwenye biblia kuna mfano Yesu anamshangaa mtu aliyeachiwa talanta moja na bwana wake akishindwa kuikuza kwa sababu hata angeamua kuiweka kwenye fixed deposit ingeleta faida.
Forex si hela rahisi inahusisha mental energy kwa sababu Kazi si kile pekee kinachohusisha pysical energy.
 
Kwajinsi nilivyo kuelewa mkuu mpaka unastop kutrade ukuwa naloss


Nina loss Mkuu wangu ila sio loss ya hela niliyotoa mfukoni mwangu ni hela niliyopata huko huko kwenye Forex....mtaji wangu wa kuanza hii Biashara ulikuwa ni $300 na sijawahi ingia tena mfukoni zaidi ya kufund account na hela niliyoipata kwenye Forex....hii Forex ilikuwa na bank account yake na sijawahi weka hela kwenye hyo account zaidi ya ile niliyokuwa nawithdraw Kutoka kwa broker.
 
Whatever, bado zina vitu hivi viwili incommon
1.) Kupata pesa bila kuzalisha mali/huduma.
2.) Ili wachache wapate lazima wengi wapoteze.
 
Duh!

Hiyo kampuni ya Marekani inafanya shughuli na huko Marekani au inafanyia shughuli zake nje ya Marekani hususan huku kwenye nchi za dunia ya tatu?

Huko Marekani sijawahi kuiona wala kuisikia [simaanishi nazijua kampuni zote za Marekani].
Wezi tu hakuna lolote.. Nilitaka kupigana..nimetoka site nimegombana na wateja..kuwahi... Na mafoleni...gari nikaacha millennium towers maana foleni haiendi... Kisha nikadaka boda boda mpk town.. Nafika nakuta mauza uza..nilikasirika sn siku hiyo.
 


Naona tuishie tu hapa Mkuu maana huku kuhamisha magoli hakutaisha...
 
Watu wenye akili zao sio akili mgando hongera sana chief
 
We jamaa lazima ubongo wako una matege
 
Wezi tu hakuna lolote.. Nilitaka kupigana..nimetoka site nimegombana na wateja..kuwahi... Na mafoleni...gari nikaacha millennium towers maana foleni haiendi... Kisha nikadaka boda boda mpk town.. Nafika nakuta mauza uza..nilikasirika sn siku hiyo.
Ule utapeli wa foreverliving kuna mtu anaitwa bigsam alikuwa anaupigia debe humu, tulimnyoosha vizuri, naona hawa nao wamekuja kivingine, hatutawaacha salama
 
Naona tuishie tu hapa Mkuu maana huku kuhamisha magoli hakutaisha...
Your call, Mnachofanya kuentice watu kujiunga na kamari ya Forex ni ukatili kwa watz wenzenu, muache mara moja. Next time huyu jamaa aje aseme George Soros ameshinda 1BN $ kwenye kamari hii, lengo ni nini kama sio kuwaingiza watz wenzenu mtegoni, acheni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…