Erick Kalemela
R I P
- Nov 19, 2017
- 815
- 1,023
Nimecheka sana duuh!We utakua punga kila kitu unataka kuvua nguo, mtoto Wa kiume VIP au si risziki, mana unacho kiongea ndo unacho kifanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana duuh!We utakua punga kila kitu unataka kuvua nguo, mtoto Wa kiume VIP au si risziki, mana unacho kiongea ndo unacho kifanya
Usifananishe biashara halali za uzalishaji mali na kamari please, hivyo ni vitu viwili tofauti. Kamari ni kutaka kupata pesa bila kuvuja jasho. Sasa tusilumbane sana, FOREX ni kamari au sio kamari, tuanzie hapa.Mkuu wangu sijui kwa nn unatumia maneno makali hv...nimetoa ushuhuda na maangalizo nimetoa....ningekuwa nataka kulure watu waingie kichwakichwa kwenye forex wala nisingetoa maangalizo ningetoa tu ushuhuda kwa ajili ya kuwatamanisha watu...na hata mentor wangu huwa kila siku ananihasa kuwa Makini kwenye RM ila nakuwa kichwa ngumu. Ndo maana nikasema wa kumlaumu mm account kuungua ni mm mwenyewe wala si mtu mwingine....ningekuwa na discipline inayotakiwa kwenye Forex hakika nisingeunguza account....ni kama wewe kwenye hzo green house zako hv ukiweka dawa ya kunyunyuzia kwenye hayo mazao yako kinyume na maelekezo ya Mtaalamu wa Kilimo au kinyume na maelekezo ya matumizi utailaumu dawa mazao yako yakiaharibika au utamlaumu Mtaalamu wa kilimo...aliyekupa Ushauri ukakataa kuuzingatia???
Daaaa a mkuu Safi Sana, ukikaa ukitulia ukafanya hii kitu serious utakua mtu mwingine, kwa maelezo yako inaonekana ulikua unatrade bila Trading plan. Ila hapo uliposema huna wa kumlaumu zaidi ya wewe mwenyewe. Inaonekana ulikielewa vizuri kitabu cha Trading in the zonesMkuu wangu upo sahihi Kabisa...mm mwenyewe nfanya Forex na nilianza baada ya Ontario kuweka Uzi wake hapa na kutoa muongozo na vitabu....nilijifungia kama miezi miwili nikasoma sana tena sana....nikaelewa Kuhusu hii Biashara.
Nukahudhuria training ya Forex..nikafungua live account na kuifund kwa dollar 300..nikaanza kutrade chini ya muongozo wa mentor. Mara nyingi nilikuwa sirade pair za mentor maana nilijihaminj sana kuwa Nina uwezo wa Kufanya analysis mwenyewe na kuexecute trade na nikamake money...na kweli nikaenda vzuri sana kwa week Mbili za mwanzo maana nilipandisha ile dollar 300 mpaka dollar 2600....hii inaweza kutokuaminika kwa wengi lakini ndo ukweli wenyewe.
Basi nikataka kutoa dollar 600 ili jijipongeze ila wakati anafanya muhamala wa kutoa hyo 600 nilikuwa na trades zinaruna na nilikuwa kwenye loss...broker si wabaya kama tunavoaminishwa maana nilipigiwa simu na broker wangu akaniambia kwa loss uliyonayo kwenye hz trades ambazo zinarun tukitoa hyo $600 account yako itaungua..kwa hyo akanishauri niache kwanza mpaka hzo trades zianze kurun kwenye profit ndo niombe kutoa hyo $600 au nikishafunga hzo trades basi nisfungue nyingine mpka hyo muhamala wa 600$ uwe umekamilika halafu ndo niendelee kutrade.
Ikabidi niwe mpole nikasubiri mpaka trades zikamake profit nikafunga naaccount ikawa ina jumla ya $2900..basi kidume nikaomba kutoa $900 na ikawezekana kwa hyo account ikabaki na $2000.
Nikaanza tena kutrade Ilikuwa siku ya ijumaa...kwa hyo mpaka soko linafungwa usiku wa ijumaa nilikuwa na faida ya $200 ila sikufunga trades zangu nikasema nakomaa nazo mpakajumatatu soko likifunguliwa ndo nitafunga kwani price ilikuwa haijafika kwenye zone ambayo nilikuwa ni profit target yangu.
Jumatatu kwenye soko likafunguka poa Kabisa na price ikawa inaelekea kwenye target yangu...ilipofika kwenye target nilikuwa na profit ya $530...sijui ni shetani gani alinipitia nikasema hiinkitu inaenda break zone kwa hyo sifungi ngoja nihold ili nimake pesa zaidi. Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia basi price ikaanza kurudi nikajipa moyo kuwa hii inaretrace kidogo tu na baadae itaendelea kwenda upande wangu.
Kosa nililofanya ambalo lilikuja nigarimu sana nilianza kuchase market kwa hyo jinsi price ilivokuwa inaretrace nikawa naendelea kufungua trades nyingine zaidi...narudia tena sijui hyo siku ni shetani gani alikuwa upande wangu..ile Daudi ya $530 ikaisha kwa hyo trade zikaanza kurun kwenye loss..loss ikazidi kuwa kubwa mm bado nafungua trades tu najipa moja kuwa hii kitu inaenda kurudi upande wangu muda si mrefu...siku hyo Umeme hukuwepo maeneo ninayokaa kwa hyo computer sikuweza kutumia nilikuwa natumia simu na mm Kufanya analysis kwenye simu huwa siwezi...baadae simu ikakata moto Umeme kurudi nilipowasha computer sikuamini nilichokiona ila account ilikuwa imeungua na nilikuwa nimebakiwa na 0.7$ kwa account yangu. Nilijilaumu mm mwenyewe ile account kuingia maana nisingefanya ule ujinga wa kuchase market hakika ile account isingeungua maana price iliretrace mpaka zone ya juu kidogo na ikaendelea kwenda upande wangu tena...kwa hyo nisingrongeza trade wala nisingeunguza account. Nashukuru Mungu nilikuwa nimeshatoa mtaji wangu na faida ya $600. Nilichokifanya nikaenda tena kufund account yangu kwa $150 nikaanza tena kutrade..ndani ya siku 8 account ilikuwa na $700 nikatoa $200 nikaendelea tena nikaipandisha tena mpaka 750$ nikatoa tena $200..
Nikaendelea nikaipandisha tena mpaka $800...nikataka kutoa $300 moyo ukakataa ukaniambia endelea kutrade...siku hyo kulikwa na fundamental new ya CAD...kwa hyo nikatrade GBPCAD...kitu kikaenda upande wangu..nikawa naongeza trades kila kitu kinapoendelea kuelekea upande wangu...mpaka price inafika kwenye target zone yangu nilikuwa na profit ya kama $1000+ kwa hyo nikawa na jumla ya $1900 kwenye account yangu...nikatoa tena $900. Nikasema sasa hii 1000$ iliyobaki ndo mtaji wangu kila kitakachokuwa kinapanda juu yake natoka.
Nikaanza tena kutrade siku hyo nikafungua trades zaikaenda upande wangu poa Kabisa kutokana na analysis niliyokuwa nimefanya...Risk management haikuwa nzuri sana kwani nilikuwa nataka niidouble account kwa siku hyo, kwa hyo kwa muda mfupi tu nikajikuwa Nina faida ya $400+ nilikuwa natrade GBPAUD sell....sijui nn kilitokea bwana ghafla GBP ikapata nguvu ya ajabu....kitu nikaanza kwenda kinyume na mm ila nkajipa moyo kuwa itaturi tu....faida yote ikaisha nikaanza kutembelea loss...Mara mtaji unaanza kukatika ilipofika nimebaki na $150 nikasema hii account inaenda kuingia kwa hyo nikafunga trades zote account ikabaki na $150.
Nikaanza tena kutrade nikaipandisha ile $150 mpaka $500 nikatoa tena $200 nikaendelea kutrade nikafanya tena makosa yale yale ya kutokuwa Makini kwenye RM nikaunguza ile $300 yote. Nikaenda kuweka tena $100 nikaipandisha mpaka $230 nikawa mroho sikuzingatia RM nikaiunguza tena.
Nimeandika haya yote kwa nn...ninachotaka kasema ni kwamba Forex ni Biashara nzuri kama ukipata training Kutoka kwa mtu sahihi na wewe mwenyewe uwe mtu wa kujielimisha sana..nimeunguza account Mara tatu ila siwezi mlaumu yoyote kutokana na hzo account kuungua na kumlaumu ni mm mwenyewe maana kuna wakati nilikuwa nafanya vitu amabvyo havitakiwi Kufanya kwenye Forex trade.
Forex trading is all about kuwa na knowledge stahiki.....kuwa na mentor anajua anachokifanya na above all RM ni kitu muhimu sana kwenye Forex trade...usiwe na account sisimizi unaweka lot size tembo hakika utaunguza account hilo wala halina mjadala.
Ninachomshukuru Mungu ni kwamba Mara zote naunguza account sijawahi kuingia mfukoni kwenda kufund account yangu hela iliyoungua niliipata huko huko kwenye Forex na faida nilipata pia. Kwa sasa nimesimama kidogo kutrade mpaka mwezi wa kwanza mwakani ndo nitaanza tena kama mungu akinifikisha.
Narudia kama RM yako iko on point ni nadra sana kuunguza account ila ukiendekeza uroho kwenye Forex hakika Forex itakuchambua kama karanga.
Duuuuu mkuu huna kazi za kufanya kupekua pekua profile za watu, unatoa wapi huo Muda??Naona akaunti yako ni special kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu.
View attachment 652930
Naamini hakuna pesa bila uzalishaji mali/ huduma; kinyume cha hapo ni utapeli.
Usifananishe biashara halali za uzalishaji mali na kamari please, hivyo ni vitu viwili tofauti. Kamari ni kutaka kupata pesa bila kuvuja jasho. Sasa tusilumbane sana, FOREX ni kamari au sio kamari, tuanzie hapa.
What nonsense is this? Lets assume wote wamesoma vitabu vizuri na wote waliocheza hiyo kamari at that particular point in time wakashinda, hizo pesa za kuwalipa zingetoka wapi? Kwenye kamari ni lazima wengi wapoteze na wachache wapate, hata msome vitabu namna gani, there must be alot of loosers for there to be very few winners, its the rule of the game. Mchezo haramu huu..Yaani ni full ujinga tu mkuu, yaani watu hawasomi wanakimbilia kutrade wakichezea za uso wanakuja kulia lia.
Kama unahoja ilete, otherwise kaa pembeniDuuuuu mkuu huna kazi za kufanya kupekua pekua profile za watu, unatoa wapi huo Muda??
Ushuhuda wako kuwa wa kweli au sio wa kweli haibadilishi hoja kwamba mnataka ku-lure watu kwenye Forex. Sasa kama hutujui kama unafahamu kwamba Forex ni kamari au laa mjadala utaendelea vipi? Eitherway, hiyo tactic ya kutoa ushuhuda kwa reverse physchology kila mtu anaifahamu na humpti mtu kirahisi hivyo; yaani hutoi mafanikio yako moja kwa moja bali unachomekea na vikwazo ambavyo supposedly umepata ili ku-disguise ushuhuda wako, hii technique imeshatumiwa sana na matapeli wa foreverliving.Sasa umeshatoka tena kwenye kuuponda ushuhuda wangu unataka tuanze kujadili kama Forex ni kamari au sio kamari??? Mm naomba tukutane kwanza nikuonyeshe trades history yangu tukidhamaliza hilo na wewe kuja kutoa ushuhuda hapa jamvini kuwa nilioutoa sio ushuhuda wa uongo au wa kulipwa kama ulivosema hapo ndo tutaanza kuelimishana kama Forex ni kamari au sio kamari
Huwezi kuniambia nikae pembeni ilihali natumia bando langu, kuwa naheshima tafadhaliKama unahoja ilete, otherwise kaa pembeni
Kwajinsi nilivyo kuelewa mkuu mpaka unastop kutrade ukuwa nalossMkuu wangu upo sahihi Kabisa...mm mwenyewe nfanya Forex na nilianza baada ya Ontario kuweka Uzi wake hapa na kutoa muongozo na vitabu....nilijifungia kama miezi miwili nikasoma sana tena sana....nikaelewa Kuhusu hii Biashara.
Nukahudhuria training ya Forex..nikafungua live account na kuifund kwa dollar 300..nikaanza kutrade chini ya muongozo wa mentor. Mara nyingi nilikuwa sirade pair za mentor maana nilijihaminj sana kuwa Nina uwezo wa Kufanya analysis mwenyewe na kuexecute trade na nikamake money...na kweli nikaenda vzuri sana kwa week Mbili za mwanzo maana nilipandisha ile dollar 300 mpaka dollar 2600....hii inaweza kutokuaminika kwa wengi lakini ndo ukweli wenyewe.
Basi nikataka kutoa dollar 600 ili jijipongeze ila wakati anafanya muhamala wa kutoa hyo 600 nilikuwa na trades zinaruna na nilikuwa kwenye loss...broker si wabaya kama tunavoaminishwa maana nilipigiwa simu na broker wangu akaniambia kwa loss uliyonayo kwenye hz trades ambazo zinarun tukitoa hyo $600 account yako itaungua..kwa hyo akanishauri niache kwanza mpaka hzo trades zianze kurun kwenye profit ndo niombe kutoa hyo $600 au nikishafunga hzo trades basi nisfungue nyingine mpka hyo muhamala wa 600$ uwe umekamilika halafu ndo niendelee kutrade.
Ikabidi niwe mpole nikasubiri mpaka trades zikamake profit nikafunga naaccount ikawa ina jumla ya $2900..basi kidume nikaomba kutoa $900 na ikawezekana kwa hyo account ikabaki na $2000.
Nikaanza tena kutrade Ilikuwa siku ya ijumaa...kwa hyo mpaka soko linafungwa usiku wa ijumaa nilikuwa na faida ya $200 ila sikufunga trades zangu nikasema nakomaa nazo mpakajumatatu soko likifunguliwa ndo nitafunga kwani price ilikuwa haijafika kwenye zone ambayo nilikuwa ni profit target yangu.
Jumatatu kwenye soko likafunguka poa Kabisa na price ikawa inaelekea kwenye target yangu...ilipofika kwenye target nilikuwa na profit ya $530...sijui ni shetani gani alinipitia nikasema hiinkitu inaenda break zone kwa hyo sifungi ngoja nihold ili nimake pesa zaidi. Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia basi price ikaanza kurudi nikajipa moyo kuwa hii inaretrace kidogo tu na baadae itaendelea kwenda upande wangu.
Kosa nililofanya ambalo lilikuja nigarimu sana nilianza kuchase market kwa hyo jinsi price ilivokuwa inaretrace nikawa naendelea kufungua trades nyingine zaidi...narudia tena sijui hyo siku ni shetani gani alikuwa upande wangu..ile Daudi ya $530 ikaisha kwa hyo trade zikaanza kurun kwenye loss..loss ikazidi kuwa kubwa mm bado nafungua trades tu najipa moja kuwa hii kitu inaenda kurudi upande wangu muda si mrefu...siku hyo Umeme hukuwepo maeneo ninayokaa kwa hyo computer sikuweza kutumia nilikuwa natumia simu na mm Kufanya analysis kwenye simu huwa siwezi...baadae simu ikakata moto Umeme kurudi nilipowasha computer sikuamini nilichokiona ila account ilikuwa imeungua na nilikuwa nimebakiwa na 0.7$ kwa account yangu. Nilijilaumu mm mwenyewe ile account kuingia maana nisingefanya ule ujinga wa kuchase market hakika ile account isingeungua maana price iliretrace mpaka zone ya juu kidogo na ikaendelea kwenda upande wangu tena...kwa hyo nisingrongeza trade wala nisingeunguza account. Nashukuru Mungu nilikuwa nimeshatoa mtaji wangu na faida ya $600. Nilichokifanya nikaenda tena kufund account yangu kwa $150 nikaanza tena kutrade..ndani ya siku 8 account ilikuwa na $700 nikatoa $200 nikaendelea tena nikaipandisha tena mpaka 750$ nikatoa tena $200..
Nikaendelea nikaipandisha tena mpaka $800...nikataka kutoa $300 moyo ukakataa ukaniambia endelea kutrade...siku hyo kulikwa na fundamental new ya CAD...kwa hyo nikatrade GBPCAD...kitu kikaenda upande wangu..nikawa naongeza trades kila kitu kinapoendelea kuelekea upande wangu...mpaka price inafika kwenye target zone yangu nilikuwa na profit ya kama $1000+ kwa hyo nikawa na jumla ya $1900 kwenye account yangu...nikatoa tena $900. Nikasema sasa hii 1000$ iliyobaki ndo mtaji wangu kila kitakachokuwa kinapanda juu yake natoka.
Nikaanza tena kutrade siku hyo nikafungua trades zaikaenda upande wangu poa Kabisa kutokana na analysis niliyokuwa nimefanya...Risk management haikuwa nzuri sana kwani nilikuwa nataka niidouble account kwa siku hyo, kwa hyo kwa muda mfupi tu nikajikuwa Nina faida ya $400+ nilikuwa natrade GBPAUD sell....sijui nn kilitokea bwana ghafla GBP ikapata nguvu ya ajabu....kitu nikaanza kwenda kinyume na mm ila nkajipa moyo kuwa itaturi tu....faida yote ikaisha nikaanza kutembelea loss...Mara mtaji unaanza kukatika ilipofika nimebaki na $150 nikasema hii account inaenda kuingia kwa hyo nikafunga trades zote account ikabaki na $150.
Nikaanza tena kutrade nikaipandisha ile $150 mpaka $500 nikatoa tena $200 nikaendelea kutrade nikafanya tena makosa yale yale ya kutokuwa Makini kwenye RM nikaunguza ile $300 yote. Nikaenda kuweka tena $100 nikaipandisha mpaka $230 nikawa mroho sikuzingatia RM nikaiunguza tena.
Nimeandika haya yote kwa nn...ninachotaka kasema ni kwamba Forex ni Biashara nzuri kama ukipata training Kutoka kwa mtu sahihi na wewe mwenyewe uwe mtu wa kujielimisha sana..nimeunguza account Mara tatu ila siwezi mlaumu yoyote kutokana na hzo account kuungua na kumlaumu ni mm mwenyewe maana kuna wakati nilikuwa nafanya vitu amabvyo havitakiwi Kufanya kwenye Forex trade.
Forex trading is all about kuwa na knowledge stahiki.....kuwa na mentor anajua anachokifanya na above all RM ni kitu muhimu sana kwenye Forex trade...usiwe na account sisimizi unaweka lot size tembo hakika utaunguza account hilo wala halina mjadala.
Ninachomshukuru Mungu ni kwamba Mara zote naunguza account sijawahi kuingia mfukoni kwenda kufund account yangu hela iliyoungua niliipata huko huko kwenye Forex na faida nilipata pia. Kwa sasa nimesimama kidogo kutrade mpaka mwezi wa kwanza mwakani ndo nitaanza tena kama mungu akinifikisha.
Narudia kama RM yako iko on point ni nadra sana kuunguza account ila ukiendekeza uroho kwenye Forex hakika Forex itakuchambua kama karanga.
Kwangu ni tofauti na unavyoona, biashara ya pesa ipo toka enzi na enzi hata kwenye biblia kuna mfano Yesu anamshangaa mtu aliyeachiwa talanta moja na bwana wake akishindwa kuikuza kwa sababu hata angeamua kuiweka kwenye fixed deposit ingeleta faida.Forex na MLM zina kitu kimoja incommon. Zote zinapromise pesa bila kuzalisha mali/ huduma. (Pesa za bure, ni kamari na upatu katika muonekano mpya.
Kwajinsi nilivyo kuelewa mkuu mpaka unastop kutrade ukuwa naloss
Whatever, bado zina vitu hivi viwili incommonKwangu ni tofauti na unavyoona, biashara ya pesa ipo toka enzi na enzi hata kwenye biblia kuna mfano Yesu anamshangaa mtu aliyeachiwa talanta moja na bwana wake akishindwa kuikuza kwa sababu hata angeamua kuiweka kwenye fixed deposit ingeleta faida.
Forex si hela rahisi inahusisha mental energy kwa sababu Kazi si kile pekee kinachohusisha pysical energy.
Wezi tu hakuna lolote.. Nilitaka kupigana..nimetoka site nimegombana na wateja..kuwahi... Na mafoleni...gari nikaacha millennium towers maana foleni haiendi... Kisha nikadaka boda boda mpk town.. Nafika nakuta mauza uza..nilikasirika sn siku hiyo.Duh!
Hiyo kampuni ya Marekani inafanya shughuli na huko Marekani au inafanyia shughuli zake nje ya Marekani hususan huku kwenye nchi za dunia ya tatu?
Huko Marekani sijawahi kuiona wala kuisikia [simaanishi nazijua kampuni zote za Marekani].
Ushuhuda wako kuwa wa kweli au sio wa kweli haibadilishi hoja kwamba mnataka ku-lure watu kwenye Forex. Sasa kama hutujui kama unafahamu kwamba Forex ni kamari au laa mjadala utaendelea vipi? Eitherway, hiyo tactic ya kutoa ushuhuda kwa reverse physchology kila mtu anaifahamu na humpti mtu kirahisi hivyo; yaani hutoi mafanikio yako moja kwa moja bali unachomekea na vikwazo ambavyo supposedly umepata ili ku-disguise ushuhuda wako, hii technique imeshatumiwa sana na matapeli wa foreverliving.
Watu wenye akili zao sio akili mgando hongera sana chiefMkuu wangu upo sahihi Kabisa...mm mwenyewe nfanya Forex na nilianza baada ya Ontario kuweka Uzi wake hapa na kutoa muongozo na vitabu....nilijifungia kama miezi miwili nikasoma sana tena sana....nikaelewa Kuhusu hii Biashara.
Nukahudhuria training ya Forex..nikafungua live account na kuifund kwa dollar 300..nikaanza kutrade chini ya muongozo wa mentor. Mara nyingi nilikuwa sirade pair za mentor maana nilijihaminj sana kuwa Nina uwezo wa Kufanya analysis mwenyewe na kuexecute trade na nikamake money...na kweli nikaenda vzuri sana kwa week Mbili za mwanzo maana nilipandisha ile dollar 300 mpaka dollar 2600....hii inaweza kutokuaminika kwa wengi lakini ndo ukweli wenyewe.
Basi nikataka kutoa dollar 600 ili jijipongeze ila wakati anafanya muhamala wa kutoa hyo 600 nilikuwa na trades zinaruna na nilikuwa kwenye loss...broker si wabaya kama tunavoaminishwa maana nilipigiwa simu na broker wangu akaniambia kwa loss uliyonayo kwenye hz trades ambazo zinarun tukitoa hyo $600 account yako itaungua..kwa hyo akanishauri niache kwanza mpaka hzo trades zianze kurun kwenye profit ndo niombe kutoa hyo $600 au nikishafunga hzo trades basi nisfungue nyingine mpka hyo muhamala wa 600$ uwe umekamilika halafu ndo niendelee kutrade.
Ikabidi niwe mpole nikasubiri mpaka trades zikamake profit nikafunga naaccount ikawa ina jumla ya $2900..basi kidume nikaomba kutoa $900 na ikawezekana kwa hyo account ikabaki na $2000.
Nikaanza tena kutrade Ilikuwa siku ya ijumaa...kwa hyo mpaka soko linafungwa usiku wa ijumaa nilikuwa na faida ya $200 ila sikufunga trades zangu nikasema nakomaa nazo mpakajumatatu soko likifunguliwa ndo nitafunga kwani price ilikuwa haijafika kwenye zone ambayo nilikuwa ni profit target yangu.
Jumatatu kwenye soko likafunguka poa Kabisa na price ikawa inaelekea kwenye target yangu...ilipofika kwenye target nilikuwa na profit ya $530...sijui ni shetani gani alinipitia nikasema hiinkitu inaenda break zone kwa hyo sifungi ngoja nihold ili nimake pesa zaidi. Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia basi price ikaanza kurudi nikajipa moyo kuwa hii inaretrace kidogo tu na baadae itaendelea kwenda upande wangu.
Kosa nililofanya ambalo lilikuja nigarimu sana nilianza kuchase market kwa hyo jinsi price ilivokuwa inaretrace nikawa naendelea kufungua trades nyingine zaidi...narudia tena sijui hyo siku ni shetani gani alikuwa upande wangu..ile Daudi ya $530 ikaisha kwa hyo trade zikaanza kurun kwenye loss..loss ikazidi kuwa kubwa mm bado nafungua trades tu najipa moja kuwa hii kitu inaenda kurudi upande wangu muda si mrefu...siku hyo Umeme hukuwepo maeneo ninayokaa kwa hyo computer sikuweza kutumia nilikuwa natumia simu na mm Kufanya analysis kwenye simu huwa siwezi...baadae simu ikakata moto Umeme kurudi nilipowasha computer sikuamini nilichokiona ila account ilikuwa imeungua na nilikuwa nimebakiwa na 0.7$ kwa account yangu. Nilijilaumu mm mwenyewe ile account kuingia maana nisingefanya ule ujinga wa kuchase market hakika ile account isingeungua maana price iliretrace mpaka zone ya juu kidogo na ikaendelea kwenda upande wangu tena...kwa hyo nisingrongeza trade wala nisingeunguza account. Nashukuru Mungu nilikuwa nimeshatoa mtaji wangu na faida ya $600. Nilichokifanya nikaenda tena kufund account yangu kwa $150 nikaanza tena kutrade..ndani ya siku 8 account ilikuwa na $700 nikatoa $200 nikaendelea tena nikaipandisha tena mpaka 750$ nikatoa tena $200..
Nikaendelea nikaipandisha tena mpaka $800...nikataka kutoa $300 moyo ukakataa ukaniambia endelea kutrade...siku hyo kulikwa na fundamental new ya CAD...kwa hyo nikatrade GBPCAD...kitu kikaenda upande wangu..nikawa naongeza trades kila kitu kinapoendelea kuelekea upande wangu...mpaka price inafika kwenye target zone yangu nilikuwa na profit ya kama $1000+ kwa hyo nikawa na jumla ya $1900 kwenye account yangu...nikatoa tena $900. Nikasema sasa hii 1000$ iliyobaki ndo mtaji wangu kila kitakachokuwa kinapanda juu yake natoka.
Nikaanza tena kutrade siku hyo nikafungua trades zaikaenda upande wangu poa Kabisa kutokana na analysis niliyokuwa nimefanya...Risk management haikuwa nzuri sana kwani nilikuwa nataka niidouble account kwa siku hyo, kwa hyo kwa muda mfupi tu nikajikuwa Nina faida ya $400+ nilikuwa natrade GBPAUD sell....sijui nn kilitokea bwana ghafla GBP ikapata nguvu ya ajabu....kitu nikaanza kwenda kinyume na mm ila nkajipa moyo kuwa itaturi tu....faida yote ikaisha nikaanza kutembelea loss...Mara mtaji unaanza kukatika ilipofika nimebaki na $150 nikasema hii account inaenda kuingia kwa hyo nikafunga trades zote account ikabaki na $150.
Nikaanza tena kutrade nikaipandisha ile $150 mpaka $500 nikatoa tena $200 nikaendelea kutrade nikafanya tena makosa yale yale ya kutokuwa Makini kwenye RM nikaunguza ile $300 yote. Nikaenda kuweka tena $100 nikaipandisha mpaka $230 nikawa mroho sikuzingatia RM nikaiunguza tena.
Nimeandika haya yote kwa nn...ninachotaka kasema ni kwamba Forex ni Biashara nzuri kama ukipata training Kutoka kwa mtu sahihi na wewe mwenyewe uwe mtu wa kujielimisha sana..nimeunguza account Mara tatu ila siwezi mlaumu yoyote kutokana na hzo account kuungua na kumlaumu ni mm mwenyewe maana kuna wakati nilikuwa nafanya vitu amabvyo havitakiwi Kufanya kwenye Forex trade.
Forex trading is all about kuwa na knowledge stahiki.....kuwa na mentor anajua anachokifanya na above all RM ni kitu muhimu sana kwenye Forex trade...usiwe na account sisimizi unaweka lot size tembo hakika utaunguza account hilo wala halina mjadala.
Ninachomshukuru Mungu ni kwamba Mara zote naunguza account sijawahi kuingia mfukoni kwenda kufund account yangu hela iliyoungua niliipata huko huko kwenye Forex na faida nilipata pia. Kwa sasa nimesimama kidogo kutrade mpaka mwezi wa kwanza mwakani ndo nitaanza tena kama mungu akinifikisha.
Narudia kama RM yako iko on point ni nadra sana kuunguza account ila ukiendekeza uroho kwenye Forex hakika Forex itakuchambua kama karanga.
We jamaa lazima ubongo wako una mategeDuuh..., huu ushuhuda umelipwa shs.ngapi kuja kuuweka hapa? Eti "nikahudhuria training ya forex", ulihudhuria kwa Ontario pale JANGID? Hahahahah; na hii storycya pc na simu kuisha chaji si mara ya kwanza naisikia, Hizi shuhuda tulizoea kuziona kwa wale matapeli wa foreverliving, hakuna jipya.Ila si kitu kizuri ku-lure watz wenzako into a trpa, iys not fair, anaweza akaja kuingia ndugu yako akaliwa,na ukapata mzigo wa kumlea, be careful. Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?
Ule utapeli wa foreverliving kuna mtu anaitwa bigsam alikuwa anaupigia debe humu, tulimnyoosha vizuri, naona hawa nao wamekuja kivingine, hatutawaacha salamaWezi tu hakuna lolote.. Nilitaka kupigana..nimetoka site nimegombana na wateja..kuwahi... Na mafoleni...gari nikaacha millennium towers maana foleni haiendi... Kisha nikadaka boda boda mpk town.. Nafika nakuta mauza uza..nilikasirika sn siku hiyo.
Your call, Mnachofanya kuentice watu kujiunga na kamari ya Forex ni ukatili kwa watz wenzenu, muache mara moja. Next time huyu jamaa aje aseme George Soros ameshinda 1BN $ kwenye kamari hii, lengo ni nini kama sio kuwaingiza watz wenzenu mtegoni, acheni!Naona tuishie tu hapa Mkuu maana huku kuhamisha magoli hakutaisha...