Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Mkuu The bold muda wa breakfast umekwisha.

njoo ushushe episode ya tatu, tukapate lunch.

Napenda namna unavyoandika Makala.
 
daaahhh una akili mnooo aisee
 
Mkuu unaonekana una uzoefu na hii biashara, sio vibaya nawe pIA kwa wakati wako ukatoa uzoefu na yale unayofahmu kwenye hii biashara.
 
Hongera sana mkuu...kwa uchambuz ulio tukuka...kwel watu na vichwa vyao...wapo writters weng lakin sijaona aliye fikia uwezo wako...
 
SEHEMU YA PILI IKO POST # 518
Mbona kwangu haifunguki? Naomba anaejua anielekeze tafadhali.
 
nashangaa watu mnavyoumizwa na hao haters au wanaojifanya kama wao ni Google (wanajua kila kitu) and yet hata hawawezi kusema wapi hasa hapako sahihi, me nawaona na kama wanataka attention tu na nina mashaka na umri wao plus kiwango cha elimu yao, ukute ndio wamemaliza la saba na form four mwaka huu.
 
Mkuu kwani hao haters wanakuzuia nini wewe kuwa mfuasi wake? Haters wanaleta ugumu gani kwako kupokea mafundisho ya jamaa au hata wakati wa kujichotea mapesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…