Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Kwa mazuzu kama wewe mnaofanyishwa utumwa huko TRA, angalia hii video mpaka mwisho kabisa, good luck slave. Na hii video ni special kwa panya wengine wot humu; mjitazame mara mbili.

We ni mganga njaa tu mtaani, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. We endelea kupiga kelele na kuwachukia wanaofanikiwa na ku-hate juhudi za wananume wenzako sisi tunaendelea kuchanja mbuga. Good luck hater
 
Nafuatilia mada mkuu , "keen intuitive power" Inakusaidia kufahamu mengi yasionekana na wengi.
Naamini huyo mzee aliyekuita anafaham mengi ktk pande zote mbili
 
Huyu jamaa wa kujiita Mcharo anaaibisha jina la ukoo wangu kabisa yani..
Hahahaha i can see what you mean boss...
Inashangaza mtu anasoma thread yote na anaingia JF kila sekeunde ili kusoma comment za uzi huo tu alafu anajifanya kuhate.

Huyu mimi nasemaga ni mtu anayekukubali kiasi kwamba mpaka anachukia kuwa anakukubali. Ndio maana anajaribu kuproject hate ili kuficha namna anavyokukubali.

So its all good! Msimkimbize kwenye ukoo [emoji1]
 
We ni mganga njaa tu mtaani, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. We endelea kupiga kelele na kuwachukia wanaofanikiwa na ku-hate juhudi za wananume wenzako sisi tunaendelea kuchanja mbuga. Good luck hater
Hahah.., haina haja ya kutambiana mafanikio, na sitafanya hivyo. Ila elewa mantiki ya comment kabla ya kujibizana na mtu.
Kwa watu wanaofikiri clearly bila utandu vichwani mwao watagundua haya.
Hili tangazo la biashara linasema kwamba;

1.) Office za Forex Tanzania zinazoendeshwa na 'Ontario' zipo JANGID TOWER.

2.) Kwa kufanya hii biashara in a 'clever manner' unaweza kufanikiwa kama 'George Soros'. (He made a BN $ eventually).

3.) Forex bussiness wanayoendesha hapo JANGID ina vibali vyote serikalini, hivyo ni halali na ina-baraka zote toka serikalini (hata hao wahindi wamesha-sort out vibali vyao)
[Kama huna akili za panya, malizia namba 4,5,6,7 na 8za hili tangazo. Ukishidwa nitakusaidia
4.) .........

Best of luck slave rat..
 
Keep on quoting, sioni hata haja ya kujibizana na mlala njaa kama wewe na kwa kiwango cha uzwazwa wako utakufa masikini.

Good luck hater.
 
Just surprised that you never heard of it.

I guess I just assumed that a lot people knew about it and I assumed you probably knew of it too.

Ila ndo matatizo ya ku assume mambo hayo.

Vipi, unataka kujaribu na wewe?

Zingatia huu ushauri:

The Bottom Line

If you still want to try your hand at forex trading, it would be prudent to use a few safeguards: limit your leverage, keep tight stop-losses and use a reputable forex brokerage. Although the odds are still stacked against you, at least these measures may help you level the playing field to some extent.

Read more: Can Forex Trading Make You Rich? | Investopedia Can Forex Trading Make You Rich?
Follow us: Investopedia on Facebook
I was interested but not that much...and reading this from you DOESNT HELP MUCH......Kitu kimoja wengi wanao-support hii trade especially waliojifunzia hapa JF hawaongei kama wewe. Wewe umeongea ukweli sio kama tunavyoaminishwa otherwise wengi wangeacha biashara nyingine wajikite huku. Wacha niendelee kuleta mahindi kutoka shamba na kuyauza sokoni tandale nina uhakika jioni kimeeleweka.
 
Back
Top Bottom