Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #141
Amen chief!! Pamoja sanaThe bold nakutakia Amani,Afya,ulinzi utokao kwa Mwenyenzi Mungu Mkuu
Nakupenda kwa kuwa unajipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen chief!! Pamoja sanaThe bold nakutakia Amani,Afya,ulinzi utokao kwa Mwenyenzi Mungu Mkuu
Nakupenda kwa kuwa unajipenda
Kwa mazuzu kama wewe mnaofanyishwa utumwa huko TRA, angalia hii video mpaka mwisho kabisa, good luck slave. Na hii video ni special kwa panya wengine wot humu; mjitazame mara mbili.
Padri McharoJF-Expert MemberPumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Hahahaha i can see what you mean boss...Huyu jamaa wa kujiita Mcharo anaaibisha jina la ukoo wangu kabisa yani..
200%mkuu unachoongea kweli kina ukweli maana Mr. V mwenyewe alishasema kuwepo kwa hilo tukio la polisi
Soon tunaendelea chiefI really like the story, bahati mbaya imekuwa fupi
Pamoja sana chiefNaona wachangiaji hawajajikita katika kuidadavua mada.
Watoto wa kiume wamejikita katika kutupiana vijembe.
mkuu The Bold katika mwendelezo wa mada hii naomba unitag.
tuielewe janja janja ya Forex
Hahah.., haina haja ya kutambiana mafanikio, na sitafanya hivyo. Ila elewa mantiki ya comment kabla ya kujibizana na mtu.We ni mganga njaa tu mtaani, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. We endelea kupiga kelele na kuwachukia wanaofanikiwa na ku-hate juhudi za wananume wenzako sisi tunaendelea kuchanja mbuga. Good luck hater
Naomba uwe unani tag kiongozi, yaani hapa nilikua nasinzia kutokana na stress ila ghafla nikakutana na huu uzi na usingizi umeisha....uwe una ni tag mkuu!!Pamoja sana chief
Keep on quoting, sioni hata haja ya kujibizana na mlala njaa kama wewe na kwa kiwango cha uzwazwa wako utakufa masikini.Hahah.., haina haja ya kutambiana mafanikio, na sitafanya hivyo. Ila elewa mantiki ya comment kabla ya kujibizana na mtu.
Kwa watu wanaofikiri clearly bila utandu vichwani mwao watagundua haya.
Hili tangazo la biashara linasema kwamba;
1.) Office za Forex Tanzania zinazoendeshwa na 'Ontario' zipo JANGID TOWER.
2.) Kwa kufanya hii biashara in a 'clever manner' unaweza kufanikiwa kama 'George Soros'. (He made a BN $ eventually).
3.) Forex bussiness wanayoendesha hapo JANGID ina vibali vyote serikalini, hivyo ni halali na ina-baraka zote toka serikalini (hata hao wahindi wamesha-sort out vibali vyao)
[Kama huna akili za panya, malizia namba 4,5,6,7 na 8za hili tangazo. Ukishidwa nitakusaidia
4.) .........
Best of luck slave rat..
Sijatetea chochote. The Bold hajatetea wala kuponda FOREX so far....kwahio ukisema namtetea sijui unahisi namtetea kwenye lipi.Ndio maana unatetea ujinga.
I was interested but not that much...and reading this from you DOESNT HELP MUCH......Kitu kimoja wengi wanao-support hii trade especially waliojifunzia hapa JF hawaongei kama wewe. Wewe umeongea ukweli sio kama tunavyoaminishwa otherwise wengi wangeacha biashara nyingine wajikite huku. Wacha niendelee kuleta mahindi kutoka shamba na kuyauza sokoni tandale nina uhakika jioni kimeeleweka.Just surprised that you never heard of it.
I guess I just assumed that a lot people knew about it and I assumed you probably knew of it too.
Ila ndo matatizo ya ku assume mambo hayo.
Vipi, unataka kujaribu na wewe?
Zingatia huu ushauri:
The Bottom Line
If you still want to try your hand at forex trading, it would be prudent to use a few safeguards: limit your leverage, keep tight stop-losses and use a reputable forex brokerage. Although the odds are still stacked against you, at least these measures may help you level the playing field to some extent.
Read more: Can Forex Trading Make You Rich? | Investopedia Can Forex Trading Make You Rich?
Follow us: Investopedia on Facebook