Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Sikiliza...watu hatufanani humu.

Binafsi sina kabisa muda wa kuja kufundisha wengine humu. Pia, hata raghba hiyo sina kabisa.

Tulishawahi kuyazungumzia humu zamani,2007 au 2008 hivi.

Ukitaka walau kujifunza ABCs zake ingia Investopedia.com
Ulichukua uamuzi wa busara Kutowashirikisha Watanzania mada ngumu kama hiyo vinginevyo ungeonekana Tapeli kama Ontario anavyoonekana tapeli machoni pa baadhi ya Watanzania. Kuna muda huwa naamini Watanzania ni kuwaacha hivyo hivyo walivyo na ujinga wao as long as hauathiri maisha yako.
 

Good for you!

Hii kitu mimi niliifanya just as a part-time side gig. Na ilikuwa occasionally tu.

Kuna ex girlfriend [American] ndo alinishawishi hadi nikaanza kuifuatilia.

Yeye mwenyewe akaja kuacha. Nami baada ya kupata reality check nikaacha. Baadaye nikajaribu tena kidogo. Ikaacha tena.

Ila huwa sishawishi wengine wasiifanye au hata wasijaribu. Mtu kama anataka kuifanya namwacha tu ajaribu. Mwishowe atafanya yeye mwenyewe uamuzi wake kulingana na alicho ki experience.

Na ndo maana hata kwenye uzi wa Ontario wala sikutia neno. Niliuona nikapita tu.
 
Mkuu nashukuru kwa Bandiko hili. Hata mimi ningependa kujua hicho kisichofundishwa mwangani. Nakufuatilia kimya kimya.
 

Ni kweli kabisa.

Ila pia napenda tu kujifanyia mambo yangu mwenyewe bila kushirikisha watu nisiowajua.

Na watu tupo hapa kwa malengo tofauti. Binafsi sipo hapa kutangaza what I do for a living.
 
Brother salute kwako.

Kuna kijiswali kidogo hapa .ulienda kituoni na furana ya navy ulipofika kituoni ukavaa sweta la polisi jambo ambalo raia wa kawaida hawezi thubutu,
Kwanini hukufikiria kunyag'anywa na kuachwa kifua wazi pamoja na kupigishwa kwata bila kupenda
 
Kuna kijiswali kidogo hapa .ulienda kituoni na furana ya navy ulipofika kituoni ukavaa sweta la polisi jambo ambalo raia wa kawaida hawezi thubutu,
Kwanini hukufikiria kunyag'anywa na kuachwa kifua wazi pamoja na kupigishwa kwata bila kupenda


Ndio uongo wenyewe tunaosema hapa.
Bahati mbaya mashabiki wake wengi ni mazuzu, ukisema tu ukweli makamasi yanavowatoka.
 
Short, sweet and powerful.

Hua nakubali sana nguvu ya kalamu yako chief. Lkn niwe tu muwazi, hii kitu umekosea sana kutupa vipande kama movie za Kinaijeria. I am really waiting for part 2, 3, 4 and 5. Thanks again for sharing ur talent with us. Stay blessed!!
 
Sikumuomba ila kwa hakika wazo la kumwomba aseme jambo kuhusu hii kitu lingenijia NINGEMUOMBA AFANYE HIVYO


Kama mtu ni bora kuliko wewe kwenye jambo fulan, don't hate, mtumie kwenye jambo lake hilo uweze kuyajua mengi

Mfano, Kuhusu Mr Soros, nimewahi msoma zaid ya mara tatu kwenda vyanzo vitatu tofaut, ila story nazopata kote hazina hili jambo aliloanza nalo Mr Bold, kwamba serikal ya Uingereza ilikua na jambo yataka kufanya kabla ya yaliyo tokea hayajatokea, kwa maneno mengine, huu ujasusi anaotupa The Bold,

The Bold, n mm niweke kwenye list ya walio kuomba
 
Tag me . Professor
 
Ahahah

Na mm acha niendeee kusapray mayai yangu kwenye hotel. Soo naongeza project yangu ya kuku wa nyama.
 
Wee jamaa ww embu chukua apo mirinda nyeusi nitakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…