Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja wao, sasa kama umeona wivu nenda ukakumbatie transformer!Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Sijawahi, i had no clue mpaka ilivyoletwa humu.
Kwanini tena mzee wa Masaki na O'bay?Aisee nyie watu nyinyi....mnakuwa mnajua vitu fulani ila mnakaa navyo mioyoni mnaangalia tu raia wanatapatapa!
Pumba nazo zinafaida unaweza zipa hata bata zako..Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Mkuu toka 2006 unatrade hata kusyua wana hutak ama kwel mna roho ngum had kijana wa watu kaja kusanua maraia juz kat hapaMazee hujawahi kufanya hii makitu?
I’ve been doing it off and on since 2006!
It’s not all it’s cracked up to be and it’s not as bad as some may have you believe.
Kipi kinakukereketa? Hata mim nilimwomba aandike kuhusu biashara hiyoNimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Nakukubali sana mkuu kwenye ukweli huwa unasema kweli.Stop hating....ana wasomaji wake wa makala anazonadika na hawa huwa wanaamini ana knowledge kubwa ya mambo fulani, hao hao ndio wameona ni vizuri akiwapa chochote anachojua kuhusu FOREX.
Kwahio unaweza usiwe wewe au mimi ila wapo ambao wanapenda aseme chochote kuhusu jambo fulani.
Mkuu TheBold Profession yako ni Nini!?Patience mkuu... jumatatu sehemu ya pili inakuwa hapa.
Mkuu toka 2006 unatrade hata kusyua wana hutak ama kwel mna roho ngum had kijana wa watu kaja kusanua maraia juz kat hapa
Hivi huu ni wivu au?Kama kuna sehemu kaandika uongo mkosoe acheni tabia za kike wadau.Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Jamaa analeta ufala.
Anajifanya eti wadau walikua wanamsumbua aandike kuhusu Forex, ili tuone Jamaa mtabee kumbe Pumba tu.
The bold nakutakia Amani,Afya,ulinzi utokao kwa Mwenyenzi Mungu MkuuPatience mkuu... jumatatu sehemu ya pili inakuwa hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!!Hapo sasa mambo ya forex yanapogombansha marafiki msigombane mkuu
Hahahaha kwa hiyo mkuu sasa hivi unavuna ma pips tu...Sikiliza...watu hatufanani humu.
Binafsi sina kabisa muda wa kuja kufundisha wengine humu. Pia, hata raghba hiyo sina kabisa.
Tulishawahi kuyazungumzia humu zamani,2007 au 2008 hivi.
Ukitaka walau kujifunza ABCs zake ingia Investopedia.com
Hahahaha kwa hiyo mkuu sasa hivi unavuna ma pips tu...