Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Mimi ni mmoja wao, sasa kama umeona wivu nenda ukakumbatie transformer!

PATHETIC!
 
Sijawahi, i had no clue mpaka ilivyoletwa humu.

Oh wow!!

Ila ndo uzuri wa JF. Ni cross-section ya society ambapo kuna kila aina ya mambo.

Hii forex trading na mambo ya multi-level marketing yana makandokando mengi sana.

Tulio kwenye financial services sector, hususan kwenye back-end ndo huwa tunauona uhalisia wake.

It’s really not all that.
 
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Kipi kinakukereketa? Hata mim nilimwomba aandike kuhusu biashara hiyo
 
Stop hating....ana wasomaji wake wa makala anazonadika na hawa huwa wanaamini ana knowledge kubwa ya mambo fulani, hao hao ndio wameona ni vizuri akiwapa chochote anachojua kuhusu FOREX.
Kwahio unaweza usiwe wewe au mimi ila wapo ambao wanapenda aseme chochote kuhusu jambo fulani.
Nakukubali sana mkuu kwenye ukweli huwa unasema kweli.
 
Mkuu toka 2006 unatrade hata kusyua wana hutak ama kwel mna roho ngum had kijana wa watu kaja kusanua maraia juz kat hapa

Sikiliza...watu hatufanani humu.

Binafsi sina kabisa muda wa kuja kufundisha wengine humu. Pia, hata raghba hiyo sina kabisa.

Tulishawahi kuyazungumzia humu zamani,2007 au 2008 hivi.

Ukitaka walau kujifunza ABCs zake ingia Investopedia.com
 
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
Hivi huu ni wivu au?Kama kuna sehemu kaandika uongo mkosoe acheni tabia za kike wadau.
Jamaa analeta ufala.
Anajifanya eti wadau walikua wanamsumbua aandike kuhusu Forex, ili tuone Jamaa mtabee kumbe Pumba tu.
 
Sikiliza...watu hatufanani humu.

Binafsi sina kabisa muda wa kuja kufundisha wengine humu. Pia, hata raghba hiyo sina kabisa.

Tulishawahi kuyazungumzia humu zamani,2007 au 2008 hivi.

Ukitaka walau kujifunza ABCs zake ingia Investopedia.com
Hahahaha kwa hiyo mkuu sasa hivi unavuna ma pips tu...
 
Back
Top Bottom