Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Hivyo hivyo hii forex.. Hela haiko kwenye pips..na lots na unininini huko... Hela zipo kwa mabroker wanaowatongoza waendelee kuweka hela... Zipo kwa trainers wanaochaji premium kukupa moyo..seriously.. Unahitaji MTU akwambie unaweza?! Halafu umpe hela?!Ule utapeli wa foreverliving kuna mtu anaitwa bigsam alikuwa anaupigia debe humu, tulimnyoosha vizuri, naona hawa nao wamekuja kivingine, hatutawaacha salama
Forex ni kautapeli na watu watakawia kujua maana wamekata tamaa?!
