Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.

=====================================
Hili tangazo la biashara linasema kwamba;

1.) Office za Forex Tanzania zinazoendeshwa na 'Ontario' zipo JANGID TOWER.

2.) Kwa kufanya hii biashara in a 'clever manner' unaweza kufanikiwa kama 'George Soros'. (He made a BN $ eventually).

3.) Forex bussiness wanayoendesha hapo JANGID ina vibali vyote serikalini, hivyo ni halali na ina-baraka zote toka serikalini (hata hao wahindi wamesha-sort out vibali vyao)
[Malizia kipengele namba 4,5,6,7 na 8 za hili tangazo. Ukishidwa nitakusaidia
4.) .........

===================================

Nikisema Mimi ni mmojawapo ninaependa mada zake na kwamba nimemuomba aandike kuhusu jambo hili kwa jinsi anavyoelewa yeye utaamini? Basi na ww andika mada zako nikizielewa ntakuwa shabiki wako acha chuki kama una cha kutuambia tujue na kujifunza sema mkuu.
 
Mkuu umesema kuwa wakati Uingereza inajiunga na mfumo wa ERM thamani ya 1GBP=2.95 DM. Sasa mbona inaonekana sarafu ya Uingereza ilikuwa imara kuliko sarafu ya Ujerumani na wakati huo huo uchumi wa Uingereza ulikuwa katika mporomoko?

Naomba ufafanuzi hapo
 
mkuu The bold kama unatafuta replies sema watu tu reply mpka mwisho, tunataka kuelimika tupe elinu haina maana yoyote kukaa days bila muendelezo kama bado hujamaliza kausha ama toa kitabu tununue
Wazo zuri sana,kuna story unakuta imeishia juu juu mtu week nzima unaisubiri.

Bora aanze kuprint vitabu vya hz simulizi zake kisha humu anarusha hata sehemu ya kwanza ya kila story kisha watu tunamwagika sokoni kununua kuliko kuachana tukisota na arosto kali.

The bold
 
Mkuu umesema kuwa wakati Uingereza inajiunga na mfumo wa ERM thamani ya 1GBP=2.95 DM. Sasa mbona inaonekana sarafu ya Uingereza ilikuwa imara kuliko sarafu ya Ujerumani na wakati huo huo uchumi wa Uingereza ulikuwa katika mporomoko?

Naomba ufafanuzi hapo
Pengine ni typing errors, base currence thamani yake ndiyo moja. Hivyo pindua kama voda
 
Bos,

Nimekwambia kitu simple(sina uhakika kama nimekwambia wewe),

Do you are own research on forex,

Fukua elimu kuhusu hii forex soma vitabu kuhusu hii forex,

Halafu ukishakuwa na mwanga hata kidogo tu ndo hapo wewe sasa utakuja hapa tujadili
DO YOU ARE WHAT!? Haa haaa!
 
Siku hiz hater ni wanaume watu wazima mnatia aibu wanaume suruali
nimependa paja lako neema hebu ni pm tuone namna gani tujivinjari msimu huu wa sikukuu tupumzike baada ya mihangaiko ya forex
 
Back
Top Bottom