Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Watu walikua wanafwatilia hii mada wakiwa wanadhan the bold angeandika kama wanavyodhani sasa baada ya mambo kuwa tofauti wanamwita the bold tapeli!!

Watanzania tuamke dunia inaenda kasi, tusiwe kama wale wamakamata makinikia na kuacha dhahabu iende!!
 
Watu walikua wanafwatilia hii mada wakiwa wanadhan the bold angeandika kama wanavyodhani sasa baada ya mambo kuwa tofauti wanamwita the bold tapeli!!

Watanzania tuamke dunia inaenda kasi, tusiwe kama wale wamakamata makinikia na kuacha dhahabu iende!!

Nimecheka nataka kupasuka waswahili wanapenda sana mteremko sasa the bold anawwkomesha
 
Nafikiri kama unajua maana ya mawasiliano utakuwa unajua kbisa hapo kulikuwa na makosa ya kiundishi mkuu,

Kama mtu mzima kama wewe unaweza kuchukulia makosa madogo kama hayo serious basi kuna tatizo sehemu,

Kitu cha msingi unatakiwa kujadili kilichopo mezani
Kunijibu pia umekosea sana mana mwisho niliweka kicheko "hahaaa haaa " kwamba haikuwa serious hivyo the bold alichelewa sana kufika ulitegemea tufanyaje labda ?? Happy new year 2018
 
Nitafute tu
Japo nimekuwa mzito wa kuelimisha siku hizi
Mtu unamfundisha anajilipua akichoma account anaanza lawama.
Nipe utaratibu wa muda wako nikutafute,tuna trade salio la kwanza tunakaa sehemu kujipongeza[emoji8]
 
Kuhusu habari hii mwenye kujua anisaidie sehemu ya pili na ya tatu naipataje?
 
Mstari mkubwa unaotenganisha maskini na matajiri ni jinsi wanavyotumia ubongo wao kufkiri (mawazo) maskini huwa tunawaza mteremko tu....utotoni niliwahi kutengeneza baiskeli ya miti, kumbuka hii kitu huwa haina pedeli za kunyonga hivyo unategemea miteremko tu. Wazo kubwa nililokuwa nalo ni iwapo kungekuwa na mteremko wa kutoka kisimani hadi nyumbani ili niwe napakia madumu ya maji kutoka kisimani na kuseleleka hadi kwetu bila jasho.

Uzi huu sio mteremko inahitaji kukaza kidogo msuli wa ubongo, kituko ni zile comments za akina sisi....unarusha tusi basi kazi kwisha kwanini nijisumbue kufikiri zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka codename(Kuunguza akaunti) unajua maana ake lazma ushafanya forex na ukakurupuka ukaungua ndio maana unalia lia me sijawaichoma kitu naish kwa faida pole sana sasa nimekujua kumbe ulikua Forex man ukaungua kwa ela za Shemeji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nika Ku kassim Majaliwa
 
Hoja iko wapi hapo? Forex ni kamari, kamari ni haram, anza kubisha hapo.
Inawezekana ni kamali inategemea na unaiona kwa mtazamo upi...hata ununuzi wa hisa inaweza kuwa ni kamali kwa mtazamo wako sababu unazinunua kutegemea zipande upige hela....but all in all it's all about money making...regardless
 
Kwa wale ambao mnasema forex ni kamari, let me tell you something guys, Kama umebahatika kusoma module inaitwa Statistics and Probabilty ukiwa katika elimu ya juu, basi kuna aina mbili za coins ambazo hutumika kufanyia experiment.
Aina hizo ni;
(1) Fair coin
(2) Weighted coin.

Tukianza na fair coin, hapa probability ya kupata head au tail ni 50%/50% ikiwa utaithrow on air

Kwa weighted coin, probability ya upande mmoja ni lazima iwe kubwa kuliko ya upande mwingine, sababu weight ya ile coin haiko evenly distributed. So you maye find P(H)=0.9 while that of tail ni P(T)=0.1 or viseversa.

Sasa basi tukija katika hizi financial markets, zenyewe zinawork under weighted coin and rules zinamfavour investor kama tu atakachokuwa anakifannya kitakuwa ni sahihi na ndio maana mtu anaweza akatrade mara 10, akawin mara 8 na kuloose mara mbili tu...

Tukija katika hizi kamari mfano kama Casinos, nazo zinawork katika weighted coin lakini the difference ni kwamba the rules are favouring the house na ndio maana kuna usemi huwa unasema "Houuse always benefit"

Natumaini nimeeleweka.
 
Halafu pia katika Psychology wanasema kwamba ile knowlegde ambayo tayari mtu yupo nayo kichwani inaweza kuwa kikwazo kwa mtu huyo kupata knowlegde nyingine. Na mara nyingi hii huwa inatokana na bad experience ambayo mtu aliipitia kipindi cha nyuma.

So wanaoidis forex either wanaichukulia kama kamari na wanaogopa kuingia sababu wanazijua fika pains ambazo mtu anaweza kuzipata kwa kucheza kamari. Au walishaingia katika forex before lakini wakaishia tu kuonja negative side ya forex ambapo ikawapa bad experience and hence wanafear kurudi tena kutokana na ile bad experience waliyoipata mwanzo(they don't know the positive side of forex).

What I can say is just try to release your mind so that you can perceive what the environment is telling you.
 
Back
Top Bottom