Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Nikutafute unipe darasa la Ku trade?Bila tatizo
Ni wewe tu na capital yako
Na risk management.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikutafute unipe darasa la Ku trade?Bila tatizo
Ni wewe tu na capital yako
Na risk management.
Watu walikua wanafwatilia hii mada wakiwa wanadhan the bold angeandika kama wanavyodhani sasa baada ya mambo kuwa tofauti wanamwita the bold tapeli!!
Watanzania tuamke dunia inaenda kasi, tusiwe kama wale wamakamata makinikia na kuacha dhahabu iende!!
Kunijibu pia umekosea sana mana mwisho niliweka kicheko "hahaaa haaa " kwamba haikuwa serious hivyo the bold alichelewa sana kufika ulitegemea tufanyaje labda ?? Happy new year 2018Nafikiri kama unajua maana ya mawasiliano utakuwa unajua kbisa hapo kulikuwa na makosa ya kiundishi mkuu,
Kama mtu mzima kama wewe unaweza kuchukulia makosa madogo kama hayo serious basi kuna tatizo sehemu,
Kitu cha msingi unatakiwa kujadili kilichopo mezani
Nitafute tuNikutafute unipe darasa la Ku trade?
Nipe utaratibu wa muda wako nikutafute,tuna trade salio la kwanza tunakaa sehemu kujipongeza[emoji8]Nitafute tu
Japo nimekuwa mzito wa kuelimisha siku hizi
Mtu unamfundisha anajilipua akichoma account anaanza lawama.
Muda wangu ni complicated sana sema unaweza kunichek pmNipe utaratibu wa muda wako nikutafute,tuna trade salio la kwanza tunakaa sehemu kujipongeza[emoji8]
The bord tapeli kuanzia leo nakupiga Block
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nika Ku kassim Majaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka codename(Kuunguza akaunti) unajua maana ake lazma ushafanya forex na ukakurupuka ukaungua ndio maana unalia lia me sijawaichoma kitu naish kwa faida pole sana sasa nimekujua kumbe ulikua Forex man ukaungua kwa ela za Shemeji.
HahahahahaNitafute tu
Japo nimekuwa mzito wa kuelimisha siku hizi
Mtu unamfundisha anajilipua akichoma account anaanza lawama.
Inawezekana ni kamali inategemea na unaiona kwa mtazamo upi...hata ununuzi wa hisa inaweza kuwa ni kamali kwa mtazamo wako sababu unazinunua kutegemea zipande upige hela....but all in all it's all about money making...regardlessHoja iko wapi hapo? Forex ni kamari, kamari ni haram, anza kubisha hapo.