Kun Jr
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 700
- 362
Pamoja sana..
multiple id in makingeeeeee francis da don ni genious sana. amegundua mapema kuwa forex trading ni Kamari ya betting nkhii nkhii nkhiiii😀😀😱😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana..
multiple id in makingeeeeee francis da don ni genious sana. amegundua mapema kuwa forex trading ni Kamari ya betting nkhii nkhii nkhiiii😀😀😱😱
Duuh.., kwahiyo mtu akiambiwa ana IQ kubwa maana yake ni multiple ID? In anycase, the guy was only being sarcastic, quite the contrary.., he meant the opposite..multiple id in making
eeeeee francis da don ni genious sana. amegundua mapema kuwa forex trading ni Kamari ya betting nkhii nkhii nkhiiii😀😀😱😱
Nimemuelewa sana bw Francis da don na yupo sahihi kusema hii ni kamari na kamari kuruhusiwa kisheria haimaanishi ni halali ni uwizi tu.
Nishafanya kazi na kampuni moja ya kichina wanachezesha bahati nasibu ya slot machine kuna watu wanakula na wanaoliwa ila anayechezesha siku zote anakula,nikimaanisha the middleman .ilikuwa kila siku tukifungua tunakuta fungu letu lipo.
Forex trading ni kamari tu kwani huna control yoyote ya matokeo aidha dola itashuka au itapanda tofauti kwani huna taarifa kamili ya masoko ya nchi zote unabahatisha tu kama mashine za kubet labda itatua hapa au pale.
ulihitaji kugundua kuwa hicho mnachofikiria sio cha kweli. nilipoanza kusoma post yako nikafikiri umeelewa nilichojaribu kucommunicate kwa francis. francis ni mbishi tu asiyejua anachokizungumza na wewe uko kwenye kundi hilo hilo. nyinyi hamjui kilichomo kwenye forex trading pamoja na kuwa kuna vitabu vingi vinafundhisha watu trading. forex trading imo kwenye syllabus za vyo vya fedha.
wewe ulikuwa na bahati ya kufanya kazi kwenye Kamari lakini hujafanya kazi kwa forex traders it seems. sababu yako kubwa ya kufikiri forex trading ni Kamari ni kuwa huna control yoyote ya matokeo. huu mtazamo ni wa asiyejua biashara huwa zinafanywaje. kama wewe ni mfuatiliaji wa shughuli za kilimo hakuna biashara yenye uhakika kama kilimo ambamo unalima, unapanda, mvua inanyesha, mazao yanaota, yanakuwa, unavuna unapeleka sokoni na mwisho unapata faida yako. clean profit. na kwa mtazamo wako kila kitu kilikuwa ni lazima kitokee kama ulivyopanga wewe. hakuna mvua kukosekana, hakuna mbolea kukosekana madukani wakati umeshapanda, hakuna mvua kuja na kuharibu mazao, hakuna usafirishaji kupanda bei kuliko ulivyopanga, hakuna mazao kufurika na bei ya mazao yako kuwa chini, hakuna hakuna hakuna. kila kitu kinaenda ulivyopanga wewe. halafu uje hapa ujiite great thinker.
haya tuendelee. ni wazi hujawahi kusoma finance hata kidogo na hivyo hujui biashara zote na mtu akikuambia kuwa kuuza na kununua fedha ni Kamari ni wazi utakubaliana naye kwa sababu kinachouzwa na kununuliwa ni fedha. kwani Kamari gani haihusishi fedha. akili safi kabisa hiyo uliyo nayo na mwenzio francis da don.
turudi kwenye hoja yako kuwa huna control yoyote ya dola kupanda au kushuka. ni kweli huna control yoyote ya kupanda au kushuka lakini taarifa ya kushuka au kupanda IPO NA INAPATIKANA kama wewe ni trader. wanapotrade ndugu mwananthropolojia (by the way kwenye anthropology kuna finance hata kidogo??) wanatumia tool inayoitwa candle sticks zenye kubadilika badilika na kukupa mwelekeo wa thamani ya currency Fulani against nyingine. hizo candle stick sio uchawi, watu wote wanaokuwa kwenye mtandao wanaona kitu kile kile na mwenye kununua kwa bei ndogo fedha Fulani na kwa kukagua hizo candle sticks zitakwendaje na baadae akauza kwa bei kubwa anapata faida.
mtindo mwingine wa kupata faida ni wa kumonitor matamko mbali mbali ya watu wakubwa wanaosimamia vyombo vya fedha duniani na kwenye masoko makubwa ya fedha. wanapotoa matamko, matamko hayo huwa yanatoa hali ya uchumi Fulani wa nchi au jumuiya Fulani utakavyokwenda na hiyo inaathiri masoka ya fedha kwa namna Fulani. sasa forex traders wakisikia mmoja kati ya hawa wakubwa anataka kuzungumza hutega sikio wasikie kama matamko yao yatapunguza bei ya sarafu Fulani au kuipandisha na wao hujiandaa kuinunua wauze kwa bei ya juu au wauze waliozonazo walizonunua bei ya chini kwa bei ya juu na kutengeneza faida yao. Kamari iko wapi hapo.
kwa lugha rahisi labda uwe umefikiria mbali Zaidi kuwa maisha yote ya mwanadamu ni Kamari kwa sababu hujui kipi kitatokea. lakini mwenye akili timamu anakuona unapozungumzia Kamari wewe unafikiria gudugudu lile la mwananyamala au kwenye slot machines na kubeti. forex trading sio hiyo. forex trading lazima uwepo wakati biashara inaendelea ili uone hizo candle sticks zinakwendaje ili zikutaarifu kama ununue au uuze. wanaopata hasara ni kwa sababu hawakuwa makini wakati wa kununua au kuuza au hawakusikiliza hizi taarifa za hawa wakuu wa big financial institutions.
kwa taarifa yako mabenki yote ya nchi hii yanafanya forex trading. na kwa taarifa Zaidi hata benki kuu ya Tanzania inafanya forex trading. sasa kwa akili ya namna yako unaweza kweli kucheza Kamari na fedha ya walipa kodi.
kuanzia leo jiondoe kwenye kundi la great thinkers ukajifunze upya halafu uje kuapply ugreat thinker.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe hizi comment zako nacheka kama mwehu. Kama kuna watu wananisikia watajua nimewehukamimi sibishi. wewe una akili sana ya kugundua kuwa forex trading is a total betting. yaani una maarifa wewe nkhe, yaani acha tu. don't gamble in forex, stay safe. idiot
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Ni kweli mkuu, unabusara sana!
Hata wakulima wanapolima wakisubiri mvua ambayo inaweza kunyesha au isinyeshe pia wanacheza kamari.
Na hawa wanaotengeneza bidhaa mbali mbali ambazo hawana uhakika kama zitanunuliwa au hazitanunuliwa pia wanacheza kamari.
Bila kusahau maombi tunayoomba kanisani na misikitini bila kujua Mungu amepanga nini pia ni kamari.
You are very smart!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Inakuwaje Huyu George Soros hakuuawa ....?
Hivi mtu kwa Hali ya Kawaida Unawez kuuzorotesha uchumi wa Tanzania kwa Mfano halafu wenye mamlaka Wakakuacha Hivi hivi kweli..... The bold
Tango pori hili la the bord hata mwanangu nikimpa asome hato weza kumuelewa.
Inakuwaje Huyu George Soros hakuuawa ....?
Hivi mtu kwa Hali ya Kawaida Unawez kuuzorotesha uchumi wa Tanzania kwa Mfano halafu wenye mamlaka Wakakuacha Hivi hivi kweli..... The bold
auferet dominus
Kwa lugha uliyotumia nimeshajua wewe ni mtu wa aina gani na inaonekana hapa unalinda biashara yako majina yote ya dharau milembe, idiot,mvivu na kasome umeyatumia kuniita
Hapa hatufahamiani na nikiamua na mimi kukutukana tutapigwa ban kitu ambacho kita kuwa hakina faida maaana hata mimi najua matusi yote
Forex bado ni kamali tu na ukweli utajulikana hii ni aina mpya ya udanganyifu hata BERNARD MADOFF alianzisha biashara yake pape wall street miaka ya 1969 na kipindi chote alidhulumu watu kama wewe kupitia kampuni yake ya Bernard Madoff co. mpaka mwaka 2008 ndipo utapeli wake ulijulikana na FBI kumfunga jela kifungo cha maisha na mtoto wake kujiua kwa aibu
Tena Bernard Madoff alikuwa raisi wa NASDAQ na mtu anayeheshimika sana ndani na nje ya US ambaye hata FBI wenyewe walijiuliza sana kumkamata na kuna watu walishaanzaga kumtuhumu na huu utapeli wake lakini wakaonekana ni wazushi kutokana na hadhi ya Madoff pale Wall Street
Wewe unajidanganya unasoma wakati unasoma mafafa hivi unasema unasikia matamko kama ya leaders of federal reserve,imf and markets sasa wao si ndio haohao wa kina Bernard Madoff wanaopanga na kuchezesha
Kwenye Asia economic crisis huyo George Soros ndiye aliyelalamikiwa kuwaadaa masoko ya asia mpaka kuingia kwenye mtego wao na mpaka raisi wa Malaysia kama sikosea alimuita anafanya Jewish conspiracy na ukiangalia kama kuna ukweli kwanini wanaofanya mambo hizi wote ni wayahudi ukianzia na mwanzilishi Charles Ponzi, Bernard Madoff na huyo Soros hizi pesa zote bila kujua mnapeleka kulifaidisha Zionism
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti "nikaenda huku nimevaa tishet ya Jeshi, nikafika askari akaniazima sweta lake nikavaa nikaingia kituoni"
Nashangaa sana watu wanavolilia uwatag, nashangaa sana.