Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

eeeeee francis da don ni genious sana. amegundua mapema kuwa forex trading ni Kamari ya betting nkhii nkhii nkhiiii😀😀😱😱

Nimemuelewa sana bw Francis da don na yupo sahihi kusema hii ni kamari na kamari kuruhusiwa kisheria haimaanishi ni halali ni uwizi tu.

Nishafanya kazi na kampuni moja ya kichina wanachezesha bahati nasibu ya slot machine kuna watu wanakula na wanaoliwa ila anayechezesha siku zote anakula,nikimaanisha the middleman .ilikuwa kila siku tukifungua tunakuta fungu letu lipo.
Forex trading ni kamari tu kwani huna control yoyote ya matokeo aidha dola itashuka au itapanda tofauti kwani huna taarifa kamili ya masoko ya nchi zote unabahatisha tu kama mashine za kubet labda itatua hapa au pale.
 
ulihitaji kugundua kuwa hicho mnachofikiria sio cha kweli. nilipoanza kusoma post yako nikafikiri umeelewa nilichojaribu kucommunicate kwa francis. francis ni mbishi tu asiyejua anachokizungumza na wewe uko kwenye kundi hilo hilo. nyinyi hamjui kilichomo kwenye forex trading pamoja na kuwa kuna vitabu vingi vinafundhisha watu trading. forex trading imo kwenye syllabus za vyo vya fedha.

wewe ulikuwa na bahati ya kufanya kazi kwenye Kamari lakini hujafanya kazi kwa forex traders it seems. sababu yako kubwa ya kufikiri forex trading ni Kamari ni kuwa huna control yoyote ya matokeo. huu mtazamo ni wa asiyejua biashara huwa zinafanywaje. kama wewe ni mfuatiliaji wa shughuli za kilimo hakuna biashara yenye uhakika kama kilimo ambamo unalima, unapanda, mvua inanyesha, mazao yanaota, yanakuwa, unavuna unapeleka sokoni na mwisho unapata faida yako. clean profit. na kwa mtazamo wako kila kitu kilikuwa ni lazima kitokee kama ulivyopanga wewe. hakuna mvua kukosekana, hakuna mbolea kukosekana madukani wakati umeshapanda, hakuna mvua kuja na kuharibu mazao, hakuna usafirishaji kupanda bei kuliko ulivyopanga, hakuna mazao kufurika na bei ya mazao yako kuwa chini, hakuna hakuna hakuna. kila kitu kinaenda ulivyopanga wewe. halafu uje hapa ujiite great thinker.

haya tuendelee. ni wazi hujawahi kusoma finance hata kidogo na hivyo hujui biashara zote na mtu akikuambia kuwa kuuza na kununua fedha ni Kamari ni wazi utakubaliana naye kwa sababu kinachouzwa na kununuliwa ni fedha. kwani Kamari gani haihusishi fedha. akili safi kabisa hiyo uliyo nayo na mwenzio francis da don.

turudi kwenye hoja yako kuwa huna control yoyote ya dola kupanda au kushuka. ni kweli huna control yoyote ya kupanda au kushuka lakini taarifa ya kushuka au kupanda IPO NA INAPATIKANA kama wewe ni trader. wanapotrade ndugu mwananthropolojia (by the way kwenye anthropology kuna finance hata kidogo??) wanatumia tool inayoitwa candle sticks zenye kubadilika badilika na kukupa mwelekeo wa thamani ya currency Fulani against nyingine. hizo candle stick sio uchawi, watu wote wanaokuwa kwenye mtandao wanaona kitu kile kile na mwenye kununua kwa bei ndogo fedha Fulani na kwa kukagua hizo candle sticks zitakwendaje na baadae akauza kwa bei kubwa anapata faida.

mtindo mwingine wa kupata faida ni wa kumonitor matamko mbali mbali ya watu wakubwa wanaosimamia vyombo vya fedha duniani na kwenye masoko makubwa ya fedha. wanapotoa matamko, matamko hayo huwa yanatoa hali ya uchumi Fulani wa nchi au jumuiya Fulani utakavyokwenda na hiyo inaathiri masoka ya fedha kwa namna Fulani. sasa forex traders wakisikia mmoja kati ya hawa wakubwa anataka kuzungumza hutega sikio wasikie kama matamko yao yatapunguza bei ya sarafu Fulani au kuipandisha na wao hujiandaa kuinunua wauze kwa bei ya juu au wauze waliozonazo walizonunua bei ya chini kwa bei ya juu na kutengeneza faida yao. Kamari iko wapi hapo.

kwa lugha rahisi labda uwe umefikiria mbali Zaidi kuwa maisha yote ya mwanadamu ni Kamari kwa sababu hujui kipi kitatokea. lakini mwenye akili timamu anakuona unapozungumzia Kamari wewe unafikiria gudugudu lile la mwananyamala au kwenye slot machines na kubeti. forex trading sio hiyo. forex trading lazima uwepo wakati biashara inaendelea ili uone hizo candle sticks zinakwendaje ili zikutaarifu kama ununue au uuze. wanaopata hasara ni kwa sababu hawakuwa makini wakati wa kununua au kuuza au hawakusikiliza hizi taarifa za hawa wakuu wa big financial institutions.

kwa taarifa yako mabenki yote ya nchi hii yanafanya forex trading. na kwa taarifa Zaidi hata benki kuu ya Tanzania inafanya forex trading. sasa kwa akili ya namna yako unaweza kweli kucheza Kamari na fedha ya walipa kodi.

kuanzia leo jiondoe kwenye kundi la great thinkers ukajifunze upya halafu uje kuapply ugreat thinker.
 
Tatizo kuna $10,000. Imeungua huku na hatujui imeenda wapi

Sasa wewe unaongelea Control eti tool ya candle sticks halafu unasahau kwamba hii system ya computer binadamu ndio kaitengeneza na yeye ndio anaye icontrol sasa unabisha nini?

Baadaye unajisahau na kujitoa akili na kusema unaangalia matamko ya watu wakubwa wanaosimamia mambo ya fedha hahaha jiangalie ulivyo mjinga sasa we uoni kama wao ndio wanaamua kupanga kwa kutoa hayo matamko

The economy of US is a paper tiger built by WALL STREET GAMBLING and PROPAGANDA

Marekani haitaji tena kupenetrete directly kwenye nchi husika na ndio maana Trump anatutukana na kutuita shithole tunakasilika na kuchukia na huku bado tunawafaidisha kwa Forex
 
ulihitaji kugundua kuwa hicho mnachofikiria sio cha kweli. nilipoanza kusoma post yako nikafikiri umeelewa nilichojaribu kucommunicate kwa francis. francis ni mbishi tu asiyejua anachokizungumza na wewe uko kwenye kundi hilo hilo. nyinyi hamjui kilichomo kwenye forex trading pamoja na kuwa kuna vitabu vingi vinafundhisha watu trading. forex trading imo kwenye syllabus za vyo vya fedha.

wewe ulikuwa na bahati ya kufanya kazi kwenye Kamari lakini hujafanya kazi kwa forex traders it seems. sababu yako kubwa ya kufikiri forex trading ni Kamari ni kuwa huna control yoyote ya matokeo. huu mtazamo ni wa asiyejua biashara huwa zinafanywaje. kama wewe ni mfuatiliaji wa shughuli za kilimo hakuna biashara yenye uhakika kama kilimo ambamo unalima, unapanda, mvua inanyesha, mazao yanaota, yanakuwa, unavuna unapeleka sokoni na mwisho unapata faida yako. clean profit. na kwa mtazamo wako kila kitu kilikuwa ni lazima kitokee kama ulivyopanga wewe. hakuna mvua kukosekana, hakuna mbolea kukosekana madukani wakati umeshapanda, hakuna mvua kuja na kuharibu mazao, hakuna usafirishaji kupanda bei kuliko ulivyopanga, hakuna mazao kufurika na bei ya mazao yako kuwa chini, hakuna hakuna hakuna. kila kitu kinaenda ulivyopanga wewe. halafu uje hapa ujiite great thinker.

haya tuendelee. ni wazi hujawahi kusoma finance hata kidogo na hivyo hujui biashara zote na mtu akikuambia kuwa kuuza na kununua fedha ni Kamari ni wazi utakubaliana naye kwa sababu kinachouzwa na kununuliwa ni fedha. kwani Kamari gani haihusishi fedha. akili safi kabisa hiyo uliyo nayo na mwenzio francis da don.

turudi kwenye hoja yako kuwa huna control yoyote ya dola kupanda au kushuka. ni kweli huna control yoyote ya kupanda au kushuka lakini taarifa ya kushuka au kupanda IPO NA INAPATIKANA kama wewe ni trader. wanapotrade ndugu mwananthropolojia (by the way kwenye anthropology kuna finance hata kidogo??) wanatumia tool inayoitwa candle sticks zenye kubadilika badilika na kukupa mwelekeo wa thamani ya currency Fulani against nyingine. hizo candle stick sio uchawi, watu wote wanaokuwa kwenye mtandao wanaona kitu kile kile na mwenye kununua kwa bei ndogo fedha Fulani na kwa kukagua hizo candle sticks zitakwendaje na baadae akauza kwa bei kubwa anapata faida.

mtindo mwingine wa kupata faida ni wa kumonitor matamko mbali mbali ya watu wakubwa wanaosimamia vyombo vya fedha duniani na kwenye masoko makubwa ya fedha. wanapotoa matamko, matamko hayo huwa yanatoa hali ya uchumi Fulani wa nchi au jumuiya Fulani utakavyokwenda na hiyo inaathiri masoka ya fedha kwa namna Fulani. sasa forex traders wakisikia mmoja kati ya hawa wakubwa anataka kuzungumza hutega sikio wasikie kama matamko yao yatapunguza bei ya sarafu Fulani au kuipandisha na wao hujiandaa kuinunua wauze kwa bei ya juu au wauze waliozonazo walizonunua bei ya chini kwa bei ya juu na kutengeneza faida yao. Kamari iko wapi hapo.

kwa lugha rahisi labda uwe umefikiria mbali Zaidi kuwa maisha yote ya mwanadamu ni Kamari kwa sababu hujui kipi kitatokea. lakini mwenye akili timamu anakuona unapozungumzia Kamari wewe unafikiria gudugudu lile la mwananyamala au kwenye slot machines na kubeti. forex trading sio hiyo. forex trading lazima uwepo wakati biashara inaendelea ili uone hizo candle sticks zinakwendaje ili zikutaarifu kama ununue au uuze. wanaopata hasara ni kwa sababu hawakuwa makini wakati wa kununua au kuuza au hawakusikiliza hizi taarifa za hawa wakuu wa big financial institutions.

kwa taarifa yako mabenki yote ya nchi hii yanafanya forex trading. na kwa taarifa Zaidi hata benki kuu ya Tanzania inafanya forex trading. sasa kwa akili ya namna yako unaweza kweli kucheza Kamari na fedha ya walipa kodi.

kuanzia leo jiondoe kwenye kundi la great thinkers ukajifunze upya halafu uje kuapply ugreat thinker.

Inawezekana we umewahi kufanya kazi kwenye forex trading na hayo mambo yako ya candle sticks na hao wataalamu wenu wa IMF kuonyesha dola inashuka muda sio mrefu ,hio ni michezo tu tunaita speculations kwenye magulugulu yetu.kwa taarifa yako hata sisi tunatoa taarifa kwa wacheza kamari tukiona wameliwa sana kwa kiwango fulani basi tunaspeculate muda sio mrefu gulugulu litatema na michezo inayofuata unakuta kweli limetema.

Umetoa mfano mwingine wa kilimo umetuonyesha jasho,nguvu na akili iliotumika ili mpaka Huyo mtu aje kuvuna huwezi kufananisha na forex trading ukasema zina characteristic zinazofanana.Mkulima ametumia nguvu wakati wewe forex trader unasubiri dola ishuke ukanunue,kwa ugreat thinker wako unaona zote zipo sawa?

Na hao watu wako wakubwa unaosubiri watoe matamko unaelewa kwamba ndio wenye dola?na wanafanya kitu kinaitwa Keynesian methods wakiwa wanaipandisha na kushusha wanavyotaka,sababu wana huo uwezo kwa kununua dola nyingi sana au kuziuza kwa wingi,wanaweza kuongeza interest rate makusudi ili wote mliobet kwenye hizo forex trading platform mliwe au mkurupuke mkauze dola mlizozificha.

Sadly wajinga ndio waliwao kwenye magulugulu yetu yale wachezaji wanaweka mitaji wenyewe na wanakulana wenyewe ,sisi wachezeshaji tunasikilizia commision tu hatuna hasara.2% ukijiunga na 20 % ukila sasa fikiria nimekula dola1000, huyo broker hajaweka mtaji wala nikiliwa hakatwi ila anachukua dola 200 bila jasho.

Endeleeni kuwapiga ila wengine tunaelewa tabia za kamari na usijaribu kufananisha benki Kuu wanavyonunua dola na kuuza ,huwa hawakai na trillion za watanzania na kuanza kubet kwenye hizo platform zenu kwani wanajua risk ya kucheza kamari ,ikitokea dola imeshuka ghafla 50% si nchi nzima itakuwa imefilisika?we ni financer kweli?
 
Download telegram then search @forextradertz ujiunge na group la forextraders tunaofanya analysis kwa pamoja ujifunze mengi.
 
mimi sibishi. wewe una akili sana ya kugundua kuwa forex trading is a total betting. yaani una maarifa wewe nkhe, yaani acha tu. don't gamble in forex, stay safe. idiot
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe hizi comment zako nacheka kama mwehu. Kama kuna watu wananisikia watajua nimewehuka
 
Ni kweli mkuu, unabusara sana!

Hata wakulima wanapolima wakisubiri mvua ambayo inaweza kunyesha au isinyeshe pia wanacheza kamari.

Na hawa wanaotengeneza bidhaa mbali mbali ambazo hawana uhakika kama zitanunuliwa au hazitanunuliwa pia wanacheza kamari.

Bila kusahau maombi tunayoomba kanisani na misikitini bila kujua Mungu amepanga nini pia ni kamari.

You are very smart!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Forex trading ni biashara halali na inatambuliwa na serikali zote duniani. Naishangaa sana mipoliCCM inavyokurupuka, huku mimacho ikiwa imetuna na miekundu kama michawi, kwenda kuwakamata watu bila kutumia akili. Shame upo all gambaz.
 
watu wenye ngozi nyeusi tungeuana, ila kwa kuwa wao ni weupe na ni waelevu zaidi yetu...amepata kuishi.
Inakuwaje Huyu George Soros hakuuawa ....?

Hivi mtu kwa Hali ya Kawaida Unawez kuuzorotesha uchumi wa Tanzania kwa Mfano halafu wenye mamlaka Wakakuacha Hivi hivi kweli..... The bold
 
sio kosa kuwa huna fununu ya jinsi mambo ya biashara na uchumi katika nchi za magharibi yanavyoendeshwa. ni sawa kufikiri kuwa kwa entity kuitwa tu ni serikali basi inaweza kufanya chochote kwa mtu yeyote hata kumuua kisa tu kasema kitu kinachoendana na kufikiri kwa wanaserikali hata kama ni halali kisheria na kikatiba.

Anyway mambo huku ni kuwa kama unasema au unafanya kitu ambacho kinakubalika kisheria na kikatiba hata kama kinaangusha serikali hakuna wa kukuuwa hadharani ovyo ovyo.

kwa hili la Soros kwanza lilikuwa linaingiza hela kwenye nchi yake (USA) sasa sijui ulikuwa unamaanisha nani amuuwe.

Hivi huku kuuwa ndio silaha pekee inayofanya kazi kwa watu wote?
 
auferet dominus

Kwa lugha uliyotumia nimeshajua wewe ni mtu wa aina gani na inaonekana hapa unalinda biashara yako majina yote ya dharau milembe, idiot,mvivu na kasome umeyatumia kuniita

Hapa hatufahamiani na nikiamua na mimi kukutukana tutapigwa ban kitu ambacho kita kuwa hakina faida maaana hata mimi najua matusi yote

Forex bado ni kamali tu na ukweli utajulikana hii ni aina mpya ya udanganyifu hata BERNARD MADOFF alianzisha biashara yake pape wall street miaka ya 1969 na kipindi chote alidhulumu watu kama wewe kupitia kampuni yake ya Bernard Madoff co. mpaka mwaka 2008 ndipo utapeli wake ulijulikana na FBI kumfunga jela kifungo cha maisha na mtoto wake kujiua kwa aibu

Tena Bernard Madoff alikuwa raisi wa NASDAQ na mtu anayeheshimika sana ndani na nje ya US ambaye hata FBI wenyewe walijiuliza sana kumkamata na kuna watu walishaanzaga kumtuhumu na huu utapeli wake lakini wakaonekana ni wazushi kutokana na hadhi ya Madoff pale Wall Street

Wewe unajidanganya unasoma wakati unasoma mafafa hivi unasema unasikia matamko kama ya leaders of federal reserve,imf and markets sasa wao si ndio haohao wa kina Bernard Madoff wanaopanga na kuchezesha

Kwenye Asia economic crisis huyo George Soros ndiye aliyelalamikiwa kuwaadaa masoko ya asia mpaka kuingia kwenye mtego wao na mpaka raisi wa Malaysia kama sikosea alimuita anafanya Jewish conspiracy na ukiangalia kama kuna ukweli kwanini wanaofanya mambo hizi wote ni wayahudi ukianzia na mwanzilishi Charles Ponzi, Bernard Madoff na huyo Soros hizi pesa zote bila kujua mnapeleka kulifaidisha Zionism
 
Unajua usilalamike pale unapoambiwa ukweli. Wewe hujui mechanics za forex trading. Tunaotrade tunakula hela kwa namna ninayokueleza. Una tatizo kubwa la kutoelewa ninachoandika sijui kwa makusudi au ni wazimu tu. Ngoja nirudie kidogo.
Candlesticks sticks huwapo kama dashboard ya kukuambia unakokwenda. Kama umejifunza vizuri forex trading tabia za hizo candlesticks zinakueleza kama thamani ya fedha fulani inapanda na kushuka hivyo uuze au ununue currency fulani. Hiyo inaitwa technical analysis. Namna nyingine ni ya kusikiliza hicho ni chose na ni matamko. Yakitolewa ndipo unapoweza kuyatumia kuona ni vipi utavuna, ama kwa kununua ama kuuza. Na hicho ndio kinachotokea kwa traders walio waangalifu. Yaani matokeo huja baada ya kuona kinchokufaa. Sasa hapo kamari iko wapi?
Ninavyoifahamu kamari ni kuwa unapobet kuhusu outcome fulani uhakika wa matokeo gani yatakuja huna. Hujui kabisa. Zinakuwepo chance kwa kuangalia historia au umahiri wa wachezaji fulani lakini huwezi kujihakikishia kuwa matokeo fulani yatakuja. Kwenye forex trading unakuwanazo sababu scientific za kuamini KINACHOENDELEA hakitabadilika. Tunatrade toka 2013 na tunaendelea hivyo. Disruptions zipo lakini ni pale unajisahau kuwatch your dashboard.
Hizi politics uliziziweka hapa zinazidi tu kunihakikishia kuwa hujui kitu unachokizungumza. Wewe zako ni siasa tu. Hapa sikuconvince uingie forex trading ila nakutoa ujinga na mimi hilo linanitosha maana wewe hauvurugi my positions when I trade. Hilo la ban ndo usinitishe nalo kabisa. Moderators humu ni watu makini sana sana watakupiga ban wewe.
Sasa usipoelewa hata haya kwanini nisikuite imbecile.
 
Back
Top Bottom