Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Muda umeshaongea tayari mkuu huyu Abib na Ontario ni hatari ya danger.kuna kitu hapa hakiko sawa ila wacha muda ndio utakuwa shahidi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda umeshaongea tayari mkuu huyu Abib na Ontario ni hatari ya danger.kuna kitu hapa hakiko sawa ila wacha muda ndio utakuwa shahidi.....
Njoo PmNa hao madogo wanapatikana wapi?
Hivi mtu anayeweza kupangilia urongo namna hii huwezi kujuwa tu professional yake?Mkuu TheBold Profession yako ni Nini!?
Acheni utapeli, pesa haipatikani hivyo.Njoo Pm
Hakuna utapeli loss ktk chart overrisking ya capital soko likienda tofauti umeloose ,forex ni biashara yenye kuhitaji tahadhari na nidhamu .utapeli upo ktk forever living,unadeposit na trade unaona pesa unakua na asses nazo mwenyewe nakutapeli vipiAcheni utapeli, pesa haipatikani hivyo.
😂Ushauri wangu kwa wanaotaka kudeal na forex, tafuta dogo mmoja unayemwamini umpe akaunti awe anairun halafu wakati unajifunza taratibu wewe wekeza kwenye crypto currenciesView attachment 2027831
Nawewe kumbe ulikua unatetea huu upumbavu?Mimi ni miongoni wa tuliomuomba
Kumbe wengi mlikua mazuzu aisee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkasome upuuzi wako nasubiri part 2 we f__a
Checki, hadi wewe ulikua zwazwa enzi hizo. Haya tuambie mliishia wapi na the Bold wenu!Huyu The bold ana nguvu sana, nataka nikuambieni jamaa anaushawishi mkubwa sana Wa kalamu, huku ndo kwake waandish Wa habar za kidadis in weng mno ila huyu mzeyaa mwisho, hatuwezi kuzuia alichopewa tu na MUNGU, big upo bro nakufuatilia kimya kimya, sometimes nahis kama unatoa mwanga mambo ya kijajusi, big up mkuu
Duh.. wapumbavu sasa wanaonekana wajanja!Watu kama nyie mnakua na akili kidogo kama za panzi, hakuna kitu productive umeleta zaidi ya ku-hate alichokisema mwenzako, wewe na huyo padri wako shoga mmeniudhi sana na nimewaweka rasmi katika kundi la members WAPUMBAVU.
Kumbe wajinga mlikua wengi aseeHuyu jamaa wa kujiita Mcharo anaaibisha jina la ukoo wangu kabisa yani..
Wengi mlisombwa na huu ujinga aiseeThe Bold japo wengine hatuna majina na hatufahamiki sana humu lakini tusisauliane katika utukufu kwenye tagging.
Bado una hamu na muendelezo wake?Interesting, tag me please ukiendelea!!
Na wewe ulikuaga unatetea huu ujinga? Hata wewe?The bold back in actions
Waliokua wanakunja kumbe ndio wajanja Sasa...Hongera mtalaamu ingawa baadhi wanakunja
Yani na wewe kumbe ulikuaga mpumbavu hivi?Some heads are too polluted to understand this kind of stuff!
Kwahiyo mkawa mnashabikia ujinga.Tulia Dogo acha kimbelembele
kwani ukikaa kimya utapungukiwa na nini
kidudukuntu hadi wewe ulikua mjingaTuandikie ukweli wako kama huna lolote unalojua una mswaki kichwani funga domo lako zaidi watu watakuona una upungufu wa nyama za makalioq
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app