Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa na mioyo ya watu

Ni kwa sababu tu ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama,vinginevyo CCM ilishajifia siku nyingi.
 
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia jambo moja kubwa likijidhihirisha wazi: Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa kwenye mioyo ya watu.

Watu hawalazimishwi, hawachukuliwi kwa nguv,wanajitokeza wenyewe, kwa hiari, kwa imani, na kwa uzalendo.

CCM imeendelea kusimama imara kwa sababu msingi wake uko kwenye misingi ya umoja, utulivu na kuamini katika maendeleo ya watu.

Hiki ndicho kinachoifanya iwe zaidi ya chama,ni harakati, ni utamaduni, ni urithi wa taifa.

Wakati wengine wakihangaika kutafuta watu wa kujaza viti, CCM inajaza viwanja kwa nguvu ya wananchi wanaoamini katika safari ya maendeleo.

Huu ndio uthibitisho kuwa chama kinachoishi ndani ya mioyo ya watu hakihitaji mabasi,kinahitaji tu wito, na watu wanaitika.

CCM inaendelea kuwa nguzo ya uthabiti, dira ya maendeleo, na sauti ya wengi.

Chama imara hakijengwi kwa kelele, kinajengwa kwa matendo,na matendo hayo yanaonekana.View attachment 3597465View attachment 3597466View attachment 3597467
Basi na utuambie nguvu ya ushindi inabebwa kwenye vibegi na kalamu za wasimamizi na malori na mabasi ya kuhama ili kujaza viwanja.
 
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia jambo moja kubwa likijidhihirisha wazi: Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa kwenye mioyo ya watu.

Watu hawalazimishwi, hawachukuliwi kwa nguv,wanajitokeza wenyewe, kwa hiari, kwa imani, na kwa uzalendo.

CCM imeendelea kusimama imara kwa sababu msingi wake uko kwenye misingi ya umoja, utulivu na kuamini katika maendeleo ya watu.

Hiki ndicho kinachoifanya iwe zaidi ya chama,ni harakati, ni utamaduni, ni urithi wa taifa.

Wakati wengine wakihangaika kutafuta watu wa kujaza viti, CCM inajaza viwanja kwa nguvu ya wananchi wanaoamini katika safari ya maendeleo.

Huu ndio uthibitisho kuwa chama kinachoishi ndani ya mioyo ya watu hakihitaji mabasi,kinahitaji tu wito, na watu wanaitika.

CCM inaendelea kuwa nguzo ya uthabiti, dira ya maendeleo, na sauti ya wengi.

Chama imara hakijengwi kwa kelele, kinajengwa kwa matendo,na matendo hayo yanaonekana.View attachment 3597465View attachment 3597466View attachment 3597467
Hivi mwenyekiti wenu si alichaguliwa kwa 98% lakini akaenda kuapa mafichoni! hakutaka 98% waliomchagua wamshangilie!
 
Dodoma mafichoni !!!

Dodoma ndio mji mkuu wako wenye hadhi ya Kiserikali.

🫎🫎Ulitaka tukio lifanyikie wp kwenye hadhi zaidi ya iyo???
 
Back
Top Bottom