Aah wapi! Chama alikivuruga alipomleta lowassa kwa tamaa ya pesaChadema sisi Tunamkubari Mbowe ambaye ndo kila kitu hapa Tz.
kwani uongo?Mtamponza mwishowe!
Aah wapi! Chama alikivuruga alipomleta lowassa kwa tamaa ya pesa
Mungu mtu hakawii hahahaMtamponza mwishowe!
Si kweli mkuu,Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)
Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!
Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!
Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!
Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!
Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!
Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!
Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
Suala la ushoga Lissu alijibu vyema kabisa!Si kweli mkuu,
Lissu hajawahi kufanya vizuri kwenye siasa za majukwaani hata kidogo.
Ukimlinganisha lissu na mbowe inapokuja siasa za majukwaani unakosea, wala kwa mzee slaa ndio kabisaa!
Halafu zitto msihangaike naye sababu huyo kushakuwa kwenye siasa za udini huko Kwenye chama kipya cha ACTCUF!
ila pia Lissu suala la ushoga lilimuweka pabaya maana tangu ile kauli yake kule USA.
Bado hajakanusha au kutoa kauli ingine kutengua ya awali.
Clip ipo kwenye hansard za YouTube
"Mambo ya faragha"[emoji116]View attachment 1484465
Ndiyo.
Ulizoorodhesha ni sifa za Mbowe!
Si kweli, CDM isikie tu! Wewe ndiye hujui kitu, Zito na Slaa wana miaka mingapi wameondoka?Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)
Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!
Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!
Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!
Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!
Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!
Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!
Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
hao walikuwa nguzo, Sasa imebaki moja kuuSi kweli, CDM isikie tu! Wewe ndiye hujui kitu, Zito na Slaa wana miaka mingapi wameondoka?
But it has made tremendous achievements! though it not true that he is a remaining single pillar !hao walikuwa nguzo, Sasa imebaki moja kuu