Hao home grown candidate waliotajwa kwenye list wote ni mafisadi tu. huyo mmoja alitimuliwa na dk. Shein na huyo mwengine nae ana madudu ya kujineemesha akiwa serikalini.Mbarawa anaonekana ni wa kuja zaidi. Hana hulka za kizanzibari na anayoonekana hafai kuishi ktk jamii ya znz. ukifuatilia tabai zake za ndani ( tunafunika k kombe) na wazenj wanazijua vyema ). Nafikiri CCM znz wangesimama kidete kudai candidate aliyekulia na kulelewa znz. Mwinyi kazaliwa na kusomea Egypt kwa masomo ya msingi na skondari ya awali ingawa alihamia Tambaza baadae kwa A- level. Ni mgeni kabisa wa maisha ya znz. ni wakati umefika wa kuwa na rais ambaye ni 'home grown candidate' na anayefahamu maisha ya watu wa znz. siyo kuletewa mtu aiseyejulikana.
Wote wana back up ya matajiri nyuma yao. Watatumika kuifisidi nchi kuliko Maelezo. Wakichaguliwa hao sitegemei kuona hata barabara ikipigwa repair kwenye shimo, hawashibi kabisa utafikiri hawafi.
Kama uchunguzi utapita kwa hawa watangaza nia, wanaweza kusafiri na kutafuta urai wa nchi nyengine