Zanzibar 2020 Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

Kwahiyo unamaanisha Wazanzibari ni wabaguzi?
 
Uko right bro..
 
Kuna sentense yako moja eti lowasa alishindwa uchaguzi 2015 , lowassa hakushindwa uchaguzi nakuweka sawa, uchaguzi ulihujukiwa kuna kila ushahidi kuwa upinzani ulishinda muulize magufuli
akamuulize chato ?
 
Ni upuuzi kufikiri CCM bara ndiyo waamuzi wa viongozi wa CCM Z'bar wakati wao bara wanashindwa kujiamulia viongozi wao zaidi ya kufanya mazingaombwe, rehearsal na maagizo ya uchaguzi wa mgombea urais!
 
Yaani koloni la ccm Zanzibar wana uamuzi gani ,mtawaliwa hana maamuzi yake,yeye ni kuamuliwa kila kitu.
 
Ukishastaafu kwisha habari yake! hakuna cha General wala babu yake na general
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…