Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Tumsifu Yesu Kristu!🙂Yesu wangu ni zaidi ya hiyo nguvu ya sita, wachawi, mapepo, vinyamkela, vibwengo wakimsikia wanakimbia. Barikiwa na Bwana Yesu Aliye hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumsifu Yesu Kristu!🙂Yesu wangu ni zaidi ya hiyo nguvu ya sita, wachawi, mapepo, vinyamkela, vibwengo wakimsikia wanakimbia. Barikiwa na Bwana Yesu Aliye hai
unayoongelea hapa bila shaka ni mada za meditations ambazo kuna wenzio wanaitwa Rakim na Mshana Jr walishazileta kitambo..Usipotuliza akili utajikuta unachanganya mambo kwani uchawi na hisia ya sita vitu viwili tofauti,kwani uchawi ni nguvu za Giza hilali hisia ya sita ni uwezo wako binafsi wakibinadamu
Mambo ya Lucid dreams, Astral Projections na Meditation etc!..OFKOZ nami napendw kufaham mengi sana nipo kwenye harakati hizo...
Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.Yesu wangu ni zaidi ya hiyo nguvu ya sita, wachawi, mapepo, vinyamkela, vibwengo wakimsikia wanakimbia. Barikiwa na Bwana Yesu Aliye hai
Niliyafuatilia mwanzoni, nikawekeza muda mwingi huko kuyajua mwisho nilijua hamna maana huko labda kwa wengine.Mambo ya Lucid dreams, Astral Projections na Meditation etc!..
Mwishoni unaambiwa do at your own risk!.
Hahahaaaa yapo na ni HALISI kabisa ila unahitaji 'guru' wa kuku-train.Niliyafuatilia mwanzoni, nikawekeza muda mwingi huko kuyajua mwisho nilijua hamna maana huko labda kwa wengine.
Kuna uzi nilielezea nikiupata nitakutag..
Yesu alisemea kwenye issues za kumwamini Yeye na hivyo kupewa special ability ya kufanya hivyo, ijapokuwa wakristo wengi hawana maarifa sahihi kuhusu powerUsiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.
Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin yesu na nguvu hii uijui hilhal yesu mwenyewe aniitambua ametupa,tunayo utakuwa unasoma biblia kisengelenyuma.
Kisengelenyuma.....heheheh[emoji12] [emoji12]Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.
Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin yesu na nguvu hii uijui hilhal yesu mwenyewe aniitambua ametupa,tunayo utakuwa unasoma biblia kisengelenyuma.
+power ndo dili, hongeraKajifunze mkuu siku hizi sitak kuongelea mambo hayo nimejikita upande wa Postive power tu (GOD) Maana nikieleza hapa watu hawachelewi kuja pm sijui mambo yangu hayaend vzr wakat ukitumia +Power unafanikiwa zaid
Ameahakula Ban lakePlease proceed im here reading as cautious as possible!!..