Nguvu ya hisia ya sita.

Nguvu ya hisia ya sita.

Yesu wangu ni zaidi ya hiyo nguvu ya sita, wachawi, mapepo, vinyamkela, vibwengo wakimsikia wanakimbia. Barikiwa na Bwana Yesu Aliye hai
Tumsifu Yesu Kristu!🙂
 
Usipotuliza akili utajikuta unachanganya mambo kwani uchawi na hisia ya sita vitu viwili tofauti,kwani uchawi ni nguvu za Giza hilali hisia ya sita ni uwezo wako binafsi wakibinadamu
unayoongelea hapa bila shaka ni mada za meditations ambazo kuna wenzio wanaitwa Rakim na Mshana Jr walishazileta kitambo..
Unless utuambie hiyo nguvu ya 6 unaifikiaje bila meditation!..
 
OFKOZ nami napendw kufaham mengi sana nipo kwenye harakati hizo...
Mambo ya Lucid dreams, Astral Projections na Meditation etc!..
Mwishoni unaambiwa do at your own risk!.
 
Yesu wangu ni zaidi ya hiyo nguvu ya sita, wachawi, mapepo, vinyamkela, vibwengo wakimsikia wanakimbia. Barikiwa na Bwana Yesu Aliye hai
Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.

Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin yesu na nguvu hii uijui hilhal yesu mwenyewe aniitambua ametupa,tunayo utakuwa unasoma biblia kisengelenyuma.
 
Mambo ya Lucid dreams, Astral Projections na Meditation etc!..
Mwishoni unaambiwa do at your own risk!.
Niliyafuatilia mwanzoni, nikawekeza muda mwingi huko kuyajua mwisho nilijua hamna maana huko labda kwa wengine.
Kuna uzi nilielezea nikiupata nitakutag..
 
Katika mambo ya chakra (power within) hiyo inaitwa THROAT CHAKRA. Nafikiri ndo kitu unajaribu kuelekezea. Kimsingi hii 5th chakra (throat chakra) inapokuwa awaken mtu anaweza kufanya hivyo ulivyosema ingawa hapo SI VYOTE. Mfano masuala kama kuhubiri, kuwa askofu havina uhusiano maana hizo ni SPIRITUAL CALLINGS ambazo wahusika wanapewa kama gifts. Ila kuziamsha hizo 'power' inahitaji mazoezi ya muda mrefu sana sana meditation. Lkn si meditation kama wnazofundisha kina Mayala, Mshana jnr na Rakims!
 
Niliyafuatilia mwanzoni, nikawekeza muda mwingi huko kuyajua mwisho nilijua hamna maana huko labda kwa wengine.
Kuna uzi nilielezea nikiupata nitakutag..
Hahahaaaa yapo na ni HALISI kabisa ila unahitaji 'guru' wa kuku-train.
 
Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.

Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin yesu na nguvu hii uijui hilhal yesu mwenyewe aniitambua ametupa,tunayo utakuwa unasoma biblia kisengelenyuma.
Yesu alisemea kwenye issues za kumwamini Yeye na hivyo kupewa special ability ya kufanya hivyo, ijapokuwa wakristo wengi hawana maarifa sahihi kuhusu power
 
Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita.

Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin yesu na nguvu hii uijui hilhal yesu mwenyewe aniitambua ametupa,tunayo utakuwa unasoma biblia kisengelenyuma.
Kisengelenyuma.....heheheh[emoji12] [emoji12]
 
Kajifunze mkuu siku hizi sitak kuongelea mambo hayo nimejikita upande wa Postive power tu (GOD) Maana nikieleza hapa watu hawachelewi kuja pm sijui mambo yangu hayaend vzr wakat ukitumia +Power unafanikiwa zaid
+power ndo dili, hongera
 
Back
Top Bottom